Dkt. Kigwangalla: Wabunge tuliowahi kuwa Mawaziri tunaona " Nishai" kuikosoa serikali kwa sababu tulishakuwa sehemu yake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangala anasema Wabunge waliopata kuwa Mawaziri wanapata wakati mgumu wanaotaka kuikosoa Serikali Kwa Sababu wao ni Mawaziri Wastaafu

Kigwangala amesema ni Nishai kuikosoa Serikali ambayo Wewe ulikuwa sehemu yake

Kigwangala ameongea huko ukurasani X

Kwako ChoiceVariable πŸ˜‚
 
Huyu naye kila siku anaota uwaziri ndiyo maana anatoa watoto wake kafara ili awe waziri tena.
 
nidhamu ya uoga ni utumwa wa kiwango kibaya sana kwa msomi huru na anaejitegemea kama huyo muungwana.

huenda anategemea ushirikina zaidi ndio maana anaona haya kukosoa na kuidhauri Serikali πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…