Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Serikali yaagiza hatua zichukuliwe wanaopandisha bei za bidhaa
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kachwamba Kijaji
Serikali ya Tanzania imeziagiza mamlaka zote za udhibiti kuchukua hatua kali dhidi ya walimbikizaji na wauzaji kupitia mlango wa nyuma (black market), wanaosababisha bei za bidhaa kupanda sokoni ili kuhakikisha bidhaa zinafika sokoni kwa wakati na bei shindani.
Ref Mwananchi 8/2/2022.
MY TAKE:
Huyu Waziri inaelekea ana uwezo mdogo kudadavua suala la kupanda kwa bei za vifaa vya ujenzi kote nchini.
Halafu ni Dr wa PhD!
Sababu ni simple!
Laws of Supply and Demand!
Hili anashindwa vipi kuelewa?
Mama Samia katupa Tshs 1.3Trillion kwenye uchumi, na zote zinaenda ujenzi wa miradi ya jamii.
Ujenzi wa madarasa umechachamaa nchi nzima. Demand ya building materials ime shoot up, wakati supply ni ile ile.
Cement inayotumika Stiglaz tu kwa siku ni mauaji.
Sasa hapo Dr Ashatu Kachwamba Kijaji haelewi kweli?
Improve Supply, serikali hamasisha wafanyabiashara kuagiza vitu hivi kupunguza bei.
Sababu ati ooohhh uhujumu uchumi ni sababu ambazo nadiriki kusema za kijinga kidogo na Dr Kijaji kuto lielewa tatizo.
Na hivyo basi utatuzi wake utampa shida sana.