Dkt. Kijaji, kweli huelewi sababu ya bei ya vifaa vya ujenzi kupanda?

Ni --- mwenzetu huyo yakhe alihamiaga tu huko baraaa
 
Kweli, tunapokuwa na mawaziri wasomi tunategemea analytical approach to problems and corresponding solutions.

Hatutegemei kila mtu awe kama IGP Sirro na kamata kamata ya uhujumu.
Hii ni approach ya mwendazake amnayo viongozi wengine wamelewa nayo.
Tatizo kubwa ni jinsi ya kuwapata viongozi, no vetting. Hatuna utaratibu mzuri wa kuandaa na kurithishana uongozi, wanapatikana kwa kujuana.
 
Tatizo kubwa ni jinsi ya kuwapata viongozi, no vetting. Hatuna utaratibu mzuri wa kuandaa na kurithishana uongozi, wanapatikana kwa kujuana.
Frankly, nilikuwa namtegemea sana huyu mama kuwa na utendaji at least wa kisomi.
She looks serious lakini hii episode imeni punguza imani naye.

Mimi niko construction industry long time hivyo hizi trends tunazifahamu sana.
 
Kama hajui tatzo atatatua vipi tatizo, kwaiyo wananchi tuendelee kuumia!!!
 
Hakuna cha supply wala demand!

Wafanyabiashara wamepandisha bidhaa sababu mikodi ya hangaya, full stop
 
Hakuna cha supply wala demand!

Wafanyabiashara wamepandisha bidhaa sababu mikodi ya hangaya, full stop
Inakuja kabisa yani na inaingia akilini ila hebu weka nyama nyama basi
 
Hakuna cha supply wala demand!

Wafanyabiashara wamepandisha bidhaa sababu mikodi ya hangaya, full stop
Biashara ina changamoto nyingi.
Usitazame tatizo kwa macho yako tu, panua wigo wako wa kufikiri.
 
Biashara ina changamoto nyingi.
Usitazame tatizo kwa macho yako tu, panua wigo wako wa kufikiri.
Hizo demand za madarasa unazosema haziwezi kupandisha bei za bidhaa namna hii!

Kumbuka kilichopanda siyo materials za ujenzi tu, kuna bidhaa nyingi sana zimepanda.

Kilichopandisha bei ya bidhaa ni makodi ya hangaya basi.
 
Litazame tatizo kwa mapana yake.
Demand ikiwa kubwa sana kuliko ilivyo kawaida.
Very much money chasing too few goods- hoarding hapo ni lazima.

Kodi na tozo zilizoongezeka moja kwa moja hebu ziweke hapa tuzione.
 
Nchi sasaivi inatekeleza miradi mingi sana ya ujenzi,miaka ya nyuma kidogo nakumbuka wajenzi wengi wa miradi walikuwa wakitaka kujenga wanaagiza material yao wenyewe uko wanakotoka ama kwingineko,sasa alivyokuja marehemu akakataa ilo jambo na kusema kila mkandarasi wa ujenzi anunue vifaa vya ujenzi hapahapa nchini,ilihali baadhi ya vifaa havina qualty waitakayo,basi mwisho wa siku wakajikuta wananunua hapahapa nchini kwetu,hii nayo huenda ikawa ni sababu mojawapo....kwa upeo wangu lakini
 
Kimsingi watu kutoka zanzibar wanauwezo mdogo sana halafu ni wavivu sana kuumiza ubongo wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…