Kenya 2022 Dkt. Kikwete kuongoza Waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

Kenya 2022 Dkt. Kikwete kuongoza Waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

Kenya 2022 General Election
Rais mstaafu Dr Kikwete ataongoza kundi la Waangalizi wa Jumuiya ya Africa Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

Source ITV
Alafu uyu mzee wa Msoga , sio aende KENYA NAKUWEKA MAMBO SAWA, KAMA ZAMBIA alafu atuzingue kwenye uchaguzi wa kwetu 2025, haiwezekani ukaacha nyumba yako unawaka moto unakimbilia ya jirani
 
Democrasia na mabadilishano ya madaraka kwa njia ya amani ni kitu kigeni na adimu kwa viongozi wengi wa Africa.
Kwa nini uchaguzi wa nchi za Afrika lazima usimamiwe? Miye sijawahi kusikia waangalizi wa uchaguzi wa India au Japan.
 
You seem to be badly brought up by your parents. You are seriously weird. I don’t know how you are living with the society.

A proper person to supervise a country national election must be a person above the ones who are running for election.

A person like you to consider being an observer will be a scandal and terrible.

Learn how to think and act like a human being.
Aisee, ungemshushia na kibao kabisa.
 
Kikwete ana stahili ni kiongozi mwenye sifa na diplomasia iliyo tukukuka .in GENTAMYCINE voice
Alikuwa pia kiongozi wa timu ya waaangaizi wa kimataifa kue Nigeria.

Tunaweza tusimpende, tumaweza kumwonea wivu, lakini ukweli unabakia pale pale kuwa Kikwete ni lazima ana uwezo mkubwa kwenye mambo fulani ambayo wenye macho wanauona upo kwake tu na siyo kwa wengine, ndiyo maana kila wakati jina la Kikwete linakuwa mbele ya majina mengine.
 
Rais mzuri akiondoka Ikulu huwa anakomba Pesa zote Hazina ili Kumkomoa ajaye na zote akizikimbiza nchini Malaysia kuzificha akihofia akiziweka Uswis zitanyakuliwa kama zile alizozinyakuwa ( alipokuwa Waziri wa Fedha ) za Marehemu Waziri Kighoma Malima na Kumsababishia Mshtuko hadi akafia huko?

Huna ukijuacho kuhusu huyo Mtu Ok?
 
2007 walivyoanza kuchinjana Kenya ni huyu JK ndio alienda kuwatuliza Odinga na Hayati Mwai

tukumbuke Kenya haina Rais mstaafu alie hadi hadi sasa so Mzee JK ni Babu wa Kambo hivyo ana wajibu wa Africa
Umegonga mule mule
 
Mzee Wa Akili Za Kuambiwa, Changanya Na Zako
 
You seem to be badly brought up by your parents. You are seriously weird. I don’t know how you are living with the society.

A proper person to supervise a country national election must be a person above the ones who are running for election.

A person like you to consider being an observer will be a scandal and terrible.

Learn how to think and act like a human being.
Kikwete mwizi wa kura akasimamie uchaguzi?!
 
Back
Top Bottom