Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

Duuuuu!

Unaona sasa ?

Bachelors UK

Masters USA

Yeye mwenyewe Kimei ana PhD

Sisi Chakubangas of the world ndio watoto wetu tukasomee ku flashi na kubadilisha system charge za Tecno
Hahaaa eti chakubangas
 
Umeona sasa jesca mtoto wa mheshimiwa kataftiwa kazi, na ana M. A Ila watoto wa maskini wakajifunze kutengeneza simu na wajiajiri
Tena REA mfagiaji wa ofisi ndiyo analipwa laki tano kwa mwezi.
 
Kweli kabisa, tulipoteza miaka ming sana skuli asee,
 

Kimei "ana practical" maana yake nini, ameona jinsi CRDB walivyonufaika na mafundi simu ?

Mzee ni heartless and selfish. Eti degree ni mambo ya kizamani?

Ya kizamani ?

Kale kabinti kake kenye degree ya UK na nyingine USA ni mzee wa zamani yule?????
 
Kweli imefika raia tunadharaulika kiasi hiki?! Kisa kuchaguwa wabunge karibu wote wa chama tawala?! Au sababu ya kutaka JPM apewe 10 na siyo mitano tena?!πŸ™πŸ˜‘
 
kimei kashauri hivi kwa kuwa mtoto wa maskini akitoka huko ni rahisi kwa yeye angalau kujiajiri
elimu hii iliyojaa theory anatoka huko na vitu kichwani sehemu ya practice hamna au kuipata ni baada ya mda mrefu
kuendelea kukaza shingo na kulinganisha na watt wake sidhan kama ni sawa maana wana added adv tena kubwa tu
 
Duuuuu!

Unaona sasa ?

Bachelors UK

Masters USA

Yeye mwenyewe Kimei ana PhD

Sisi Chakubangas of the world ndio watoto wetu tukawasomesheb ku flashi simu na kubadilisha system charge...
Ukitaka kumtawala maskini mnyime elimu, wamefan8ikiwa, sasa wanachofuata ni kutupeleka VETA wakati wao wanakwenda ulaya.
 
Kweli imefika raia tunadharaulika kiasi hiki?! Kisa kuchaguwa wabunge karibu wote wa chama tawala?! Au sababu ya kutaka JPM apewe 10 na siyo mitano tena?!πŸ™πŸ˜‘
MATAGA wanapiga tu makofi, wacha tuendelee kuumia.
 
mwanafunzi anasoma VETA ufundi magri akija maani hata kufunga weipa hajui.
 
makanyaga najua wewe ni mchaga , na ni MATAGA, hujui sababu ya Kimei kutumbuliwa CRDB na kupewa Mhaya/wa Biharamulo ndugu Abdul Majid, mengine hayasemwi ila usitake kujua
 
makanyaga najua wewe ni mchaga , na ni MATAGA, hujui sababu ya Kimei kutumbuliwa CRDB na kupewa Mhaya/wa Biharamulo ndugu Abdul Majid, mengine hayasemwi ila usitake kujua
Kastaafu hajatumbuliwa. Mimi kwetu Machame halafu huyo yeye ni Mrombo. Sasa mimi nina shida gani naye kuanza kumsifu bila sababu ya msingi?
 
Kila shule iwe technical school Kama IYUNGA,ifunda , TANGA tech,mtwara tech nakadhalika

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Huwezi linganisha Iyunga Tech na Ifunda Tech banaa... Enzi za Tech School tano tu NCHI nzima zenye vifaa vya kiufundi vyenye akili huwezi linganisha na hizi za baadaye... Kuna technical school tano tu zilizokuwa na akili kwa maananya equipments za kufundishia... Tanga Tech, Mtwara Tech, Ifunda aTech, Moshi Tech na Mazengo Dodoma.... hizinyingine ni majina tu lakini hawana vifaa hitajika kwa UKAMILIFU wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…