Dkt. Kimei: Wachaga wanapenda magendo

Dkt. Kimei: Wachaga wanapenda magendo

Huyu Mzee Kimei hata Kuzungumzaga huwa hawezi, yaani kumsikiliza na kumuelewa inahitaji urudie mara mbili mbili

Ubunge wake alioupata amshukuru sana Magufuli, maana ilikuwa ni oda tu kwamba 'pitisha huyo'
 
Magendo iko sehemu zote za mpakani

Hata wapemba,waunguja nao baadhi ya watu

Wa magendo

Ova
Nimewakuta Wakojani wengi sana wanavusha magendo kwa majahazi na mitumbwi hapa Nyamisati.
 
Back
Top Bottom