TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

Afadhali amefuta post yake watu hawajui kuna madaktari wamepata huu ugonjwa wakiwa wanatoa huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kaamua kuua wananchi wake huku yeye kajificha Chato. Sasa hata kupima hatupimi tena. Tumesingizia mashine ni mbovu. Bahati mbaya vifo havifichiki.
 
Pole mkuu, serikali inahusikaje?
 
Kwa maelezo hayo ya Tanzia, kuna kila sababu kufikiri na kuamini kuwa huyo Daktari bingwa huenda amepigwa na COVID mpaka mauti kumfika!

Poleni wafiwa.
Sioni cha ajabu hapo,!
Huko kwingine watu wanarekodi vifo 2,000 kwa siku.

Kikubwa kuchukua tahadhari ugonjwa upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kaamua kuua wananchi wake huku yeye kajificha Chato. Sasa hata kupima hatupimi tena. Tumesingizia mashine ni mbovu. Bahati mbaya vifo havifichiki.
Poleni wafiwa.
Huyu ni Kinabo yupi, yule aliwahi kuwa USA ?
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo mkoa wa Dodoma Dkt. Kinabo amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo UDOM Dodoma. Sababu ya kifo Bado haijaelezwa

Tunatoa pole kwa familia na wakazi wa Dodoma. Dkt. Kinabo pia alikuwa ana hospitali yake maeneo ya uhindini ambapo alikuwa akitoa huduma bora sana za moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…