TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

Huu mwaka huu
tapatalk_1588871608846.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalam si mmekubali kupelekeshwa na jiwe!? Ngoma haituondoi peke yetu.
 
Acha kuzusha zusha mambo
Hao ni wapumbavu Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban Mzee alikua na sukar

Sent by IPhone
 
Bwana Alitoa na BWANA ametwaa
 
Sio sifa, mnatafuta umaarufu kwenye vifo vya watu why? Kwani hapo awali watu walikuwa hawafi? Mbona mlikuwa hamleti Tanzia kama hivi, ridiculous!
 
Sio sifa, mnatafuta umaarufu kwenye vifo vya watu why? Kwani hapo awali watu walikuwa hawafi? Mbona mlikuwa hamleti Tanzia kama hivi, ridiculous!
Mkuu vifo vya watu mashuhuri vimekuwa vikiletwa humu kila siku, hata kabla ya Corona. Labda kama wewe ni mgeni.
 
Hii Korona itatafuna wataalamu mpaka nchi itakuwa taabani kwa kupoteza watu wake potential.

Hawa Usalama wa Taifa sijui kwa nini hawatumii mbinu zao za Medani kumfanya Jiwe atulize ball.

Hii nchi itarudi miaka miaka 40 nyuma kutokana na vifo vya wataalam sababu ya Korona.
 
RIP DR. NIMESIKIA C19 IKUKUTA UNA VITU. VYAKO YENYEWE INASUKUMIZA TU FASTA, DAH! KUNA BINGWA WA MJI WETU ALIENDA KWA HOMA ZINGINE, NAYE KAISHIA HUKOHUKO NA KUZIKWA HULOHUKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom