Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korona tu hiyo...
I can agree ni magonjwa ya uzeeni Dr Kinabo umri umeenda sana, asilimia kubwa ya wazee wote mitaa ya Muhimbili Dar alipokuwa anaishi washatangulia.Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban
Mzee alikua na sukar ya juu sanaa
Watu Waache kupotosha jamii
Sent by IPhone
Vipimo siyo feki mkuu. Feki ni jiwe aliyepeleka sample feki. Yaani, mwenye dhahabu feki kalipwa dola feki.
Corona inafanya finishing ndugu yangu acha kubisha bisha vitu usivyovijua, pumzika nyumbani au Covid-19 ikakupumzishe kaburini. PeriodMimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban
Mzee alikua na sukar ya juu sanaa
Watu Waache kupotosha jamii
Sent by IPhone
Unataka kutuambia kwamba magonjwa mengine siku hizi hayaui hadi yapitie kwa Mr Corona?Ndo ukweli wenyewe huo.
Sasa hivi ni Korona tu ndo inayoua.
TANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Aliambiwa apige lockdown ona sasa. Na mihela ya imf anaikosaNasikia Jiwe kaondoka Chato kakimbilia rubondo
Wanaweza wakampa batch inayofuata. Ila pesa hataikosa kabisaAliambiwa apige lockdown ona sasa. Na mihela ya imf anaikosa
Kazee kajing sana kale, kamemwachia msala yule PMU naye anaenda kichwa kichwa tu, atatuaga muda si mrefu shauri yake! Kuna picha kama 2 hivi ameonekana na watu ambao tayari wametutoka kutokana na changamoto za kupumua!Magufuli kaamua kuua wananchi wake huku yeye kajificha Chato. Sasa hata kupima hatupimi tena. Tumesingizia mashine ni mbovu. Bahati mbaya vifo havifichiki.
we unapandwaUnataka Serikali Ufanye kipi ambacho haijakifanya. Share Nasi. Au unataka kunambia Hakuna mtz aliyesikia kuhusu corona na namna ya kujikinga. Hicho ndo kipimo kikubwa cha nyie Mnaoita watu madikteta pale inapowafaha. Mazuri yote hamyaoni. Tell us now. I am in Deutschland so I am interested kujua unataka Serikali ilifanyie Nini.
Sent using Jamii Forums mobile app