TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

Hao ni wapumbavu Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban Mzee alikua na sukar

Sent by IPhone
Wewe nae kiherehere tu kama Makonda
 
Mkuu tunakuheshimu Sana hapa Acha uongo
Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban Mzee alikua na sukar

Sent by IPhone
Kwani COVID-19 inaua tu wanaugua muda mfupi
 
Hao ni wapumbavu Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban Mzee alikua na sukar

Sent by IPhone
Ni kinabo yule ambaye alikuwa DVC Academic & consultancy miaka ya 2010 kurudi nyuma? Mpole sana au Ni mwanae? Mana nakumbuka alishakuwa Prof. Kitambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban
Mzee alikua na sukar ya juu sanaa
Watu Waache kupotosha jamii

Sent by IPhone
Kwanini unatoa Siri ya ugonjwa?
 
Hao ni wapumbavu Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban Mzee alikua na sukar

Sent by IPhone
Wewe mfanyakazi wa mzee wako ndo mpumbavu hukumsaidia mwajiri wako achukue tahadhari zaidi kujikinga na gonjwa hili ukijua ana umri Mkubwa. Covid-19 inaadhiri zaidi wazee kama mzee wako kwa sababu kinga ya miili yao inakuwa imepungua lakini kwa kuwa mganga hajigangi, wewe ungemsaidia kwa kumfukiza hata kwa mbuyu kabla ya ndege kurudi. RIP, Doc!
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo mkoa wa Dodoma Dkt. Kinabo amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo UDOM Dodoma. Sababu ya kifo Bado haijaelezwa

Tunatoa pole kwa familia na wakazi wa Dodoma. Dkt. Kinabo pia alikuwa ana hospitali yake maeneo ya uhindini ambapo alikuwa akitoa huduma bora sana za moyo.
Idadi bado ni ileile 16 nadhani
 
Hao ni wapumbavu Mimi ni mfanyakaz wake mzee ameugua muda mrefu tangu Mwez wa kwanza hajaja kazin alikua nyumban Mzee alikua na sukar

Sent by IPhone
mkuu wataalam wanasema watu wenye magonjwa kama hayo ni rahisi Corona kuwapeperusha, kwa hiyo kuwa mpole tu you never know
 
Inasikitisha sana,mtu anakuwa na taarifa za kuunga unga kwa super glue ilimradi tu atoe taarifa inayoijua yeye na kuleta tafrani kwa umma

Apumzike panapomstahili marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama umegundua mtu anataarifa za kuunga unga mbona mwoshoni umemuwish apumzike salama??
 
Back
Top Bottom