Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Hii yote ni vita ya old clinical office aliyepokwa tongeHela tamu sana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii yote ni vita ya old clinical office aliyepokwa tongeHela tamu sana,
Umeongea vizuri ,ila elewa hii ADDO imegeuza watu kuwa ma priscriber ,and most pharmacy ndo KAZI Sasa Kama hujajua fanya utafiti, that'sSi kazi ya mfamasia kuprescribe dawa wala pharmacy si mahali pa kuhitaji prescription!! Anayehitaji prescription aifuate kwa daktari hospitalini!! Ni makosa makubwa kwa mgonjwa kwenda pharmacy halafu ategemewe huko kupata prescription. Ni lazima jamii ielimishwe!! Tukiendekeza watu kufuata prescription pharmacy, hizi pharmacy zitageuzwa kinyemela kuwa dispensary!!
Mfamasia hawezi kutoa dawa kwa mgonjwa kama hiyo dawa inahitaji prescription ya daktari na hayo ndiyo maadili ya wafamasia!
Hakuna haja ya daktari kuwa pharmacy maana pharmacy si mahali muafaka pa ku-practice udaktari!! Daktari akiona anahitaji kukaa pharmacy na aende kusomea tena shahada ya pharmacy miaka 5 (pamoja na internship yake)!!
Sasa Kama cheti Cha mfamasia kipo pale Chato Kama picha ya rais ila yeye mwenye cheti yupo Tanga, effect yake ni nini? Acheni umiza afya za ndugu zenu kisa vipande vya fedha,Nakupongeza kwa uelewa wa kutokwenda directly pharmacy kununua dawa bila kumwona daktari!! Ila kwa suala la cheti cha mfamasia kuwepo dukani huo ni uthibitisho kuwa hiyo pharmacy inahudumiwa na inasimamiwa na mtaalamu wa madawa hivyo kuhakikisha usalama wa huduma inayotolewa hapo!! Ni takwa la lisheria duniani kote, vinginevyo kila mtu atajifanya kufanya kazi hiyo na ni hatari sana kwa jamii. Huo siyo ulaji bali ni kazi muafaka inayostahili MALIPO!! Wanapata hayo malipo kihalali kwa kusimamia usalama wa dawa na wateja!
Dr atauzaje kitu asichokijua? Anajua vitu vilivyopo ndani ya dawa?Kwa ulivyoeleza hapo na.hoja za Dr koboko mie pia naungana nae moja kwa moja maduka ya dawa yauzwe na madaktari ila watu wa famasia watengeneze dawa
Hoja ni. Hii kuna watu wengi wananunua dawa famasi bila kupata cheti cha daktari na kama wafamasia hawajasoma magonjwa hivyo wanatoa dawa kwa hisia ndo maana tunapata usugu wa dawa sanaa
Hoja ni nzito mnoo muhimu wafamasia wajikite kwenye kutengeneza dawa na kazi ya kuuza dawa na kutoa dawa ibaki wa madaktari wa binadamu
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Mkuu 'ZALENDA', hiyo siyo pharmacy ambako hupewa dawa bila kuwa na cheti cha daktari. Kwa kufanya hivyo nawe unashiriki katika uhalifu unaofanywa na hao wanaotoa dawa kwa mgonjwa kabla mgonjwa hajaenda kumwona daktari.Binafsi sipendi sana mgonjwa kwenda directly pharmacy kununua dawa bila kumuona daktari.kuna uholela mkubwa sana wa utoaji wa dawa na hatari zaidi ni kutrngeneza drug resistance,kidney and liver failure. Mimi nineenda Mara nyingi kununua dawa pharmacy .sijawahi ulizwa prescription.
Pili ,sijaona sababu za cheti cha mfalmacia kuwepo dukani .Ule ni ulembo tu na ulaji tu.haina maana kabisa.kwamba hicho cheti ni CCTV camera kumonita utoaji holela wa dawa bila prescription?
Unasema hivyo kwa sababu hujaangalia madhara ya daktari kuuza mdawa na kuwa tabibu wakati huo huo.Kwa ulivyoeleza hapo na.hoja za Dr koboko mie pia naungana nae moja kwa moja maduka ya dawa yauzwe na madaktari ila watu wa famasia watengeneze dawa
Hoja ni. Hii kuna watu wengi wananunua dawa famasi bila kupata cheti cha daktari na kama wafamasia hawajasoma magonjwa hivyo wanatoa dawa kwa hisia ndo maana tunapata usugu wa dawa sanaa
Hoja ni nzito mnoo muhimu wafamasia wajikite kwenye kutengeneza dawa na kazi ya kuuza dawa na kutoa dawa ibaki wa madaktari wa binadamu
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Unatakiwa uelewe pia mfamasia haruhusiwi kumpa mgonjwa dawa bila cheti cha daktari. Lakini imekuwa ni kasumba ya wafamasia wengi kutoa dawa bila prescriptions toka kwa daktari jambo ambalo ni makosaUnatakiwa utambue kuwa na dawa ndani ya duka na kuitoa ni taaluma ya Famasi. Sio Taaluma ya Nesi wala CO au Daktari.
Walifundishwa ile training ya ADDO ili kusaidia upatikanaji wa Dawa za msingi katika maeneo ya pembezoni. Sasa miaka imebadilika na ile ilikuwa ni just a crash programme lakini sio jambo la kisheria. So mafunzo ya ADDO yalikuwa lazima ili walau wawe na uhalali fulani wa ku handle dawa maana anaye handle daswa duniani kote ni lazima awe na Elimu ya Dawa ( Mfamasia).
Pharmacy is a business of Pharmacist.Not doctors or Nurses.Unatakiwa uelewe pia mfamasia haruhusiwi kumpa mgonjwa dawa bila cheti cha daktari. Lakini imekuwa ni kasumba ya wafamasia wengi kutoa dawa bila prescriptions toka kwa daktari jambo ambalo ni makosa
kiafya na kitaaluma.
Rai kuu ya Koboko ni Mfamasia hapaswi kutoa dawa moja kwa moja Kwa mgonjwa kwani hiyo si taaluma yao, ila wanafanya hivyo kwa muongozo wa daktari aliye muona mgonjwa husika.
Hapo utaona kabisa daktari halazimiki kupata MAFUNZO ya namna yeyote ya utoaji dawa kwani kashajotosheleza hapo.
Sasa hivi eti daktari, CO au nurse huruhusiwi kuuza dawa kwani??
Sasa hivi eti daktari, CO au nurse huruhusiwi kuuza dawa kwani??
Kuna dawa nyingi zinaweza kutolewa bila kuhitaji cheti cha daktari.Unatakiwa uelewe pia mfamasia haruhusiwi kumpa mgonjwa dawa bila cheti cha daktari. Lakini imekuwa ni kasumba ya wafamasia wengi kutoa dawa bila prescriptions toka kwa daktari jambo ambalo ni makosa
kiafya na kitaaluma.
Rai kuu ya Koboko ni Mfamasia hapaswi kutoa dawa moja kwa moja Kwa mgonjwa kwani hiyo si taaluma yao, ila wanafanya hivyo kwa muongozo wa daktari aliye muona mgonjwa husika.
Hapo utaona kabisa daktari halazimiki kupata MAFUNZO ya namna yeyote ya utoaji dawa kwani kashajotosheleza hapo.
Sasa hivi eti daktari, CO au nurse huruhusiwi kuuza dawa kwani??
Madakitari njaa..ni janga kwa kada ya afya.Inabidi tuseme wazi bila kupepesa macho!! Tatizo la Dr Koboko ni kuwa anaona kula kwa kadri ya urefu wa kamba ya udaktari tu haitoshi! anataka aunganishe na ile ya ufamasia!! Sababu yake ni kuwa eti kwa sababu anaweza kutoa dawa pharmacy bila mgonjwa kuwa na prescription
Hataki mfamasia atoe dawa kwa mgonjwa!! Si kwa kuwa mfamasia hawezi kutoa dawa kwa mujibu wa prescription (kwa dawa zinazohitaji prescription), eti kwa sababu mfamasia hayajui magonjwa!!
Mfamasia hahitaji ayajue magonjwa (japo anayajua kwa kiasi fulani) ili aweze kutoa dawa!! Siyo jukumu la mfamasia kujua magonjwa, maana hiyo ni kazi ya daktari!!
Kutokujua magonjwa hakumfanyi ashindwe majukumu yake ya msingi kwenye pharmacy!
Dr Koboko anataka Daktari ndiye atoe dawa pale pharmacy na hakuna sababu ya mgonjwa kwenda na cheti maana Daktari anayajua magonjwa!! Kwa hiyo Dr Koboko anataka kutumia pharmacy kama dispensary pia au clinic!!
Hawa ndio madaktari wetu halafu analisema hilo hadharani bila aibu!! Anauliza, je mgonjwa akienda pharmacy bila cheti cha Daktari huyo mfamasia atamsaidiaje? Kwake hiyo ni hoja yenye nguvu!! Jibu ni kwamba mgonjwa akienda pharmacy kutibiwa ataambiwa kuwa pharmacy sio hospitali!! Atashauriwa aende kwa hospitali kama hitaji lake linahitaji dawa zinazotolewa kwa prescription ya daktari.
Wafamasia wote wanajua hivyo, na kama mmoja akikiuka atashughulikiwa na bodi ya pharmacy kwa mujibu wa sheria!! Nanukuu mawazo ya Dr Koboko:
"✓Kazi ya Mfamasia ni kutunza na kuhifadhi dawa, kusambaza maeneo yenye uhitaji pamoja na kutengeneza dawa viwandani na siyo kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa . Kwa hiyo kazi yake siyo drugs Administration, hii ni kazi ya watu wengine. Mfamasia hajasomea Magonjwa wala wadudu wanaosababisha maradhi, hajasomea dalili za magonjwa.
Hivi anapoenda mgonjwa kwenye duka la dawa na hana cheti cha daktari, Mfamasia anajua Diagnosis ya ugonjwa wake? Amesomea dalili? Ni maduka mangapi yanayotoa dawa kwa vyeti vya madaktari nchini? Hivi mnajua kuwa mnataka kuliangamiza taifa kwa maslahi ya wachache?"
Unaona, Koboko hataki mfamasia atoe dawa moja kwa moja kwa mgonjwa wakati pale pharmacy ndiyo kazi ya mfamasia kutoa dawa kwa mgonjwa!! Kwa maneno mengine pharmacy au duka la dawa halihitaji kuwa na mfamasia! Eti atafanyaje kama mgonjwa ataenda pharmacy bila cheti cha daktari!! Jibu ni kuwa haitakiwi mgonjwa aende pharmacy bila cheti cha daktari kama dawa anayohitaji inatakiwa kuwa na prescriptrion!! Jibu siyo kuruhusu mgonjwa aende pharmacy bila cheti cha daktari kwa sababu eti atamkuta daktari hapo!!
PHARMACY SIYO MAHALI PA TIBA!! KWA HIYO DAKTARI HATAKIWI HAPO!! DAKTARI AKITAKA KUTIBU AENDE HOSPITALINI NA SIYO PHARMACY!! NA MGONJWA AKITAKA KUTIBIWA AENDE HOSPITALINI NA SIYO PHARMACY!!
Dr Koboko anataka ku-practice profession yake pharmacy!! Dr Koboko hajui mahali sahihi pa ku-practice!! ni maajabu!! Halafu anataka wafamasia watoke pharmacy waende viwandani!! na wawe mastoo keeper tu wa dawa!!
Ushauri kwa Dr. Koboko: Ukitaka kuunganisha kamba ya udaktari na ufamasia ili uongeze eneo la kula NENDA KASOMEE KOZI YA PHARMACY PIA MIAKA 4 + MWAKA 1 WA INTERN kisha nenda kafungue pharmacy na utibu kinyemela maana pharmacy siyo eneo muafaka la kufanyia tiba!
Hakuna mafunzo yoyote anayopewa daktari kuendesha pharmacy, mpaka hapo inaonyesha hujui tofauti ya ADDO na pharmacy.Sikia usipende underestimate watu kisa upo apo bila kujua jf ni kisima kilichojaa wabobezi wa Mambo mengi
Haya mafunzo ya ADDO ya mwezi na week 2-3 ndo yanamfanya mtu Sasa kuwa na uwezo wa kujua pharmacodynamics vs pharmacokinetics ,nimetumia terminology hizo mbili maana misingi muhim ya mtu wa pharmacy
KWa hoja za prof na hoja zako unazotoa ,ni Kwamba bado mtu anaetakiwa kujua dawa GANI mgonjwa apewe ni dr na si vinginevyo, na huwezi ilazimisha utakavyo
Hivyo bado hoja za prof inasimama kwamba
1.pharmacy lazima iwe na mfamasia na dr au nurse
2. Ni wizi na ujinga kwamba dr aksaome ADDO tena Ili kuendesha pharmacy maana bado pharmacology kaisoma pia
3. Huwezi pika watu KWa miezi miwili KWa mafunzo uchwara ya ADDO alafu ukaja na kelele kwamba Sasa wameiva katika pharmacodynamic vs pharmacokinetis ,hii ni kucheza na afya za watanzania, na ni wizi mtupu
Mwisho nimpongeze prof na naunga andiko lake
Naanza kukuelewa kwamba mfamasia sio mbadala wa doctor ,Na umeeleza utaratibu unavyotakiwa kuwa,lakini ndo mnachokifa huko kwenye pharmacy zenu na maduka yenu muhim chini ya iyo ADDO zenu?Hakuna mafunzo yoyote anayopewa daktari kuendesha pharmacy, mpaka hapo inaonyesha hujui tofauti ya ADDO na pharmacy.
Na sio kweli eti mfamasia hajui mgonjwa huyu apewe dawa gani, huyo atakua sio pharmacist maana baada ya kusoma dawa na magonjwa mengine bado kuna kozi inayoenda mpaka semester 3 inaitwa therapeutics(wengine wanaita clinical pharmacy au pharmacotherapy) hii utajifunza vitu vingi kuhusu tiba. Utahusianisha disease and treatment na utadeal na cases kibao. Pamoja na hayo bado mfamasia sio substitute ya daktari na wala hawajawahi kudai wafanye hayo majukumu.
Unapotaka daktari na nesi wawepo pharmacy hapo unataka uigeuze iwe hospital. Mwisho utataka pawe na maabara, kitanda, chumba cha sindano n.k maana ndio vitendea kazi vyao.
Kama ulivyosema jamii forums ni kisima cha maarifa basi ni jukumu la kila member kupokea maarifa kutoka kwa wengine.
Ni jambo la kusikitisha kuona mwanataaluma mbobevu lakini anakosa weledi na kudhani anaweza beba majukumu ya fani tofauti na yake.
Kuhusu ADDO nadhani hata wewe ukiona scope yake utajua tu haikumlenga nurse wala daktari maana ni ndogo sana na ilikua ni temporary tu. Nchi ikikaa sawa zinaondoshwa zote.
Mwisho pharmacy ni zaidi ya pharmacology, kujua pharmacology sio kujua kila kitu kuhusu dawa. Ndio maana kila prescription lazima ipitie kwa pharmacist.
Kama umeshindwa kunielewa basi jaribu hata kutafiti nchi za wenzetu wanaendesha vp systems zao. Uone Uk, Germany, USA n.k wanaishije, Hakuna kitu kama hiki mnachopropose.
brother wamiliki wa famasi sio wafamasia pekee kuna watu binafsi ambao hawana taaluma ya famasi na pia doctors kibao wanamilik famas unafikil hao doctors wanaomilik famasi hawaoni ilo tatzo la kuuzwa dawa bila prescription? ila Mfamasia ndo yupo accountable famasi kutoa elim kwa wasaidiz wake dawa gan zitolewe na prescription na zipi zisitolewe sasa like all other health professional sio wote watakua perfect kwa kufuata kiapo walichoapa na kutoa dawa inavotakiwa.Naanza kukuelewa kwamba mfamasia sio mbadala wa doctor ,Na umeeleza utaratibu unavyotakiwa kuwa,lakini ndo mnachokifa huko kwenye pharmacy zenu na maduka yenu muhim chini ya iyo ADDO zenu?
Maana Ili kutatua tatizo lazima tuwe wakweli, je wagonjwa wangapi mmewai wanyima dawa kisa Hana cheti Cha dactari , hospitali za uma mgonjwa hawezi pata dawa pharmacy Kama Hana cheti za doctor vipi huko mtaani,
Leo pita maduka mawili na pharmacy bila cheti Cha doctor Kama hutopewa dawa, Sasa hayo mamlaka mnayatoa wapi?
Leo tunadanganyana hapa wakati sio kinachofanyika mtaani KWa faida ya nani
Napendekeza utaratibu wa kuratibu biashara yenu hii kuangaliwa upya na serikali, na hasa usimamizi wa biashara hii kuanzia wilaya mpaka juu usiwe chini ya usimamizi wa mfamasia peke yake bali uwe chini ya Tim mahalum,
Mwisho afya za watanzania zipo mikononi mwa Doctors, Hawa wafunzwa,pharcology, history taking, how to diagnos and the proper way to priscribe medicine for specific disease ,wasikae kimia lazima kutoa tamko la pamoja, kuhusu Ili vinginevyo afya za watanzania zinaelekea babaya kuacha swala la tiba mikononi mwa wafamasia,