Dkt. Kweka: Wafundishe watoto kuepuka gadgets, wajenge social skills za lazima

Dkt. Kweka: Wafundishe watoto kuepuka gadgets, wajenge social skills za lazima

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Ushauri Dkt. Garvin Kweka kwa wazazi ili kuwasaidia watoto kukabiliana na msongo wa mawazo na changamoto za afya ya akili katika umri mdogo.

Dkt. Kweka anashauri wazazi kuwafundishwa watoto kuepuka matumizi ya gadgets kwa muda mrefu ili wapate skills nyingine. Anasema mtoto anaweza kupata social skills za lazima kama kupiga kinanda, kucheza mpira na kuwakutanisha na watoto wa majirani kwa ajili ya michezo ya watoto kwa pamoja,

Anashauri pia wazazi kufanya ziara za kushtukiza shuleni, kwenye vyumba vya watoto wao kuangalia na kupekua ili kukiwa na tatizo wajue na namna ya kuwasaidia.

Una maoni gani?
 
Tatizo kubwa la msingi kwa vijana wengi ni ukosefu wa nidhamu + urahisi wa distractions (simu, games, social media)
Na upande wa wazazi nao ukweli ni huu:
-wengi hawana muda wa kukaa na watoto
-wengine wana-control kwa fujo au upelelezi badala ya mazungumzo
-wengine hawajui kabisa mtoto anaishi vipi emotionally

Hivyo matokeo yake ni “kuteleza kimya kimya” kwa mtoto.

Suluhisho la real life sio kuogopa gadgets au kushambulia kundi fulani la watu bali ni ,kuweka limits kali za matumizi ya simu, kuwafanya watoto wawe busy na activities (sports, skills) na kuwe na mazungumzo ya wazi nyumbani bila judgement pia malezi ya karibu (not spying, but guiding + monitoring)..
 
Una hoja, uzingatiwe. Malezi kwa watoto sasa hivi ni changamoto sana.
 
Back
Top Bottom