Suluhisho la real life sio kuogopa gadgets au kushambulia kundi fulani la watu bali ni ,kuweka limits kali za matumizi ya simu, kuwafanya watoto wawe busy na activities (sports, skills) na kuwe na mazungumzo ya wazi nyumbani bila judgement pia malezi ya karibu (not spying, but guiding + monitoring)..