Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akutana na kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
​
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera ambaye ni Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, ameendelea na ziara ya kukutana na wadau mbalimbali wa nchini Tanzania ambapo leo Aprili 13, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar.

Dkt. Chakwera pia alipata fursa ya kutembelea eneo la mchezo wa Makachu ambapo vijana wamekuwa wakichumpa (dive) katika bahari huku wakionesha ujunbe maalum.




​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…