GE2025 Dkt. Mafwenga achukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe

GE2025 Dkt. Mafwenga achukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233
WhatsApp Image 2025-06-28 at 18.17.47_f8bff601.jpg
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka Mafwenga ambaye pia ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
WhatsApp Image 2025-06-28 at 18.17.48_39b17f07.jpg

WhatsApp Image 2025-06-28 at 18.17.48_96676d45.jpg
 
Back
Top Bottom