Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, ameahidi kuikarabati barabara ya Minjingu – Kakoi kwa Tsh Milioni 100
Kwa mujibu wa meneja wa TANROADS alisema barabara hiyo ilikuwa katika mpango wa 2020/2021 na ilikuwa bajeti ya Tsh. Milioni 58
Dkt. Magufuli alisema kuiongeza bajeti hiyo kuwa Tsh. Milioni 100 na akataka zabuni ya barabara hiyo itangazwe mapema iwezekanavyo
Ameahidi hayo alipokuwa Minjingu, Manyara kwenye mkutano wa Kampeni