Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aahidi kutoa milioni 100 kwa barabara ya Minjingu - Kakoi

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aahidi kutoa milioni 100 kwa barabara ya Minjingu - Kakoi

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Hamna watanzania wehu wa kupigia kura feni bovu
 
Watanzania 98% kura tunazipeleka kwa Rais Magufuli
Mpole
Mnyenyekevu
Mzalendo
Mpenda watu
Jasiri
Mtekelezaji
Mchapakazi
Mvumilivu
Ametupeleka uchumi wa kati
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania wa hapo unaposhinda ukivuta Bangi?
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Ni kipenzi chako ila wanaojielewa tupo na lissu ,wehu na majizi mtawapigia wenzenu
 
Mzee Rungwe yeye akiahidi hata kasahani ka ubwabwa inakuwa nongwa, halafu wanasimama wamajidai wanataka amani
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania
tutampigia kura kwa 98%
Mnyenyekevu
Mzalendo
Mpenda watu
Jasiri
Mtekelezaji
Mchapakazi
Mvumilivu
Mbeba maono
Ametupeleka uchumi wa kati
Ni kipenzi chako ila wanaojielewa tupo na lissu ,wehu na majizi mtawapigia wenzenu
 
Hii ni Rushwa ila NEC hawawezi kusema. Ni sawa na wali wa Mh. Rungwe Sipunda.
 
Kila kona katoa Rushwa live kwa kutumia mawaziri ambao kisheria hawatakiwi kufanya kazi sasa baada ya bunge kuvunjwa lakini yeye kavunja katiba na Sheria mpaka sasa waziri mkuu yupo na mawarizi wapo kazini
Ila natamani uchaguzi uishe apigwe chini, na kuna kesi nyingi sana za ukiukwaji wa sheria za uchaguzi zitafunguliwa. Kuanzia kwake, udiwani NEC, NA ubunge
 
Back
Top Bottom