Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rais Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Magufuli alishatuambia kuwa hakuwa na maono wala ndoto za kuja kuwa Rais wa Tanzania, alisukumiziwa tu, na anajuta kupata hiyo nafasi, angejua uzito wake asingegombea.
Sera zimemshinda sasa ni kutoa hongo tuu. Na NEC wako kama hawaoni.Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, ameahidi kuikarabati barabara ya Minjingu – Kakoi kwa Tsh Milioni 100
Kwa mujibu wa meneja wa TANROADS alisema barabara hiyo ilikuwa katika mpango wa 2020/2021 na ilikuwa bajeti ya Tsh. Milioni 58
Dkt. Magufuli alisema kuiongeza bajeti hiyo kuwa Tsh. Milioni 100 na akataka zabuni ya barabara hiyo itangazwe mapema iwezekanavyo
Ameahidi hayo alipokuwa Minjingu, Manyara kwenye mkutano wa Kampeni
Hakuna Mtanzania ana maono ya kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzaniRais Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Hilo feni bovu halina ishu ni kelele tuRais Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Kila kona katoa Rushwa live kwa kutumia mawaziri ambao kisheria hawatakiwi kufanya kazi sasa baada ya bunge kuvunjwa lakini yeye kavunja katiba na Sheria mpaka sasa waziri mkuu yupo na mawarizi wapo kaziniSera zimemshinda sasa ni kutoa hongo tuu. Na NEC wako kama hawaoni.
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, ameahidi kuikarabati barabara ya Minjingu – Kakoi kwa Tsh Milioni 100
Kwa mujibu wa meneja wa TANROADS alisema barabara hiyo ilikuwa katika mpango wa 2020/2021 na ilikuwa bajeti ya Tsh. Milioni 58
Dkt. Magufuli alisema kuiongeza bajeti hiyo kuwa Tsh. Milioni 100 na akataka zabuni ya barabara hiyo itangazwe mapema iwezekanavyo
Ameahidi hayo alipokuwa Minjingu, Manyara kwenye mkutano wa Kampeni
Wananchi wameamka hawataki uonevu wanataka HAKIaendelee kuahidi kila takataka safari hii wananchi ni Lisu tu
Kutwa akikaa kwake huangalia video za Nigeria ya sasa na pia video za Elbashiri wa Sudan na Jacob zuma wa South AfricaAkikosa Kura hizi ahadi atazitimiza kwa kwenda kuuza Nini kule kwao?
Kwenye mikataba mipya ya madini ambayo ni siri yake binafsi aliahidi Noah kwa kila Mtanzaniaamewahi kuahidi milion 50 kila kijiji ia hola!
Hilo feni bovu halina ishu ni kelele tu
Hamna watanzania wehu wa kupigia kura feni bovu.Sisi Watanzania tunaenda na Rais Magufuli kura zote kwake
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania wa hapo unaposhinda ukivuta Bangi?Sisi Watanzania tunaenda na Rais Magufuli kura zote kwake