Hamna watanzania wehu wa kupigia kura feni bovu
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania wa hapo unaposhinda ukivuta Bangi?
Ni kipenzi chako ila wanaojielewa tupo na lissu ,wehu na majizi mtawapigia wenzenuSisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Ni kipenzi chako ila wanaojielewa tupo na lissu ,wehu na majizi mtawapigia wenzenu
Ila natamani uchaguzi uishe apigwe chini, na kuna kesi nyingi sana za ukiukwaji wa sheria za uchaguzi zitafunguliwa. Kuanzia kwake, udiwani NEC, NA ubungeKila kona katoa Rushwa live kwa kutumia mawaziri ambao kisheria hawatakiwi kufanya kazi sasa baada ya bunge kuvunjwa lakini yeye kavunja katiba na Sheria mpaka sasa waziri mkuu yupo na mawarizi wapo kazini