Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DKT.Magufuli akiwa Singida na baadhi ya wadhamini wake.
chagua BENARD MEMBE for coast zone
Mtu pekee anayeweza kuirudisha Tanzania kwenye msatari ni Magufuli. Hawa wengine wote ni joke tu!! Na mpaka sasa sielewi kwa nini hatumtumii huyu mtu.
haha huyu ni nyapara tuu .Ndio maana hana jipya anasubiri kupewa ilani na ccm ambayo imeandikwa km mkusanyiko wa magazeti.Pengine angetuambia alishiriki kiasi gani kutengeneza hizo ilani..tungejua km yeye ndie alizitengeneza na ndie atakeyekuwa kiongozi kusimamia mawazo yake.
Naombeni KURA zenu, mimi Magufuli.
Mlinikabidhi wizara ya ujenzi, nikauza nyumba zote za serikali maeneo nyeti na yasiyo nyeti kwa sababu kuzigharamia ilikuwa ni hela nyingi.
Mkinipa nchi nitauza baadhi ya mikoa ambayo haizalishi, ambayo ni mzigo kwa nchi hii. Pia mikoa nyeti tutajiuzia sisi viongozi ili tuendelee kutawala
Mtu pekee anayeweza kuirudisha Tanzania kwenye msatari ni Magufuli. Hawa wengine wote ni joke tu!! Na mpaka sasa sielewi kwa nini hatumtumii huyu mtu.
Mtu pekee anayeweza kuirudisha Tanzania kwenye msatari ni Magufuli. Hawa wengine wote ni joke tu!! Na mpaka sasa sielewi kwa nini hatumtumii huyu mtu.
Weka akiba ya maneno. Huyu mtu ni presidential material. Ataushangaza umma wa Watanzania. Kuwa makini sana kutumia maneno hasa kwa mtu ambaye ni rais mtarajiwa.
Haha..Slaa ameshiriki kuiandaa na amekuwa km kiongozi kuanzia huko ,kitu kinachohakikishia kwamba atakuwa kiongozi ktk kutatua na kutekeleza ilani ya CDM akiwa Ikulu.Magufuli ni nyapara tuu na atabaki hivyo.CHapara huwa anafuata sheria za gereza km robot.Na akishazikariri anaweza tishia wafungwa hata akiota..kwani hua anaota kwa sauti..Magufuli nae ndivyo alivyo atazikariri zote na kuanza pita akizitema km cheche bila kujua hata zinatekelezwa vipi.Mfano Slaa akisema anenda kutekeleza ilani ya CHADEMA ikiwa ni pamoja na kurudia upya mchakato wa katiba, je atakuwa nje ya mstari au, naomba elimu tu!