Elections 2015 Dkt. Magufuli achanja mbuga kutafuta wadhamini

DKT.Magufuli akiwa Singida na baadhi ya wadhamini wake.

Naombeni KURA zenu, mimi Magufuli.

Mlinikabidhi wizara ya ujenzi, nikauza nyumba zote za serikali maeneo nyeti na yasiyo nyeti kwa sababu kuzigharamia ilikuwa ni hela nyingi.

Mkinipa nchi nitauza baadhi ya mikoa ambayo haizalishi, ambayo ni mzigo kwa nchi hii. Pia mikoa nyeti tutajiuzia sisi viongozi ili tuendelee kutawala
 
Huyu ana nafasi ya kuukwaa... sio mbaya nampenda hata hivyo...japo yupo ufisadini.
 
haha huyu ni nyapara tuu .Ndio maana hana jipya anasubiri kupewa ilani na ccm ambayo imeandikwa km mkusanyiko wa magazeti.Pengine angetuambia alishiriki kiasi gani kutengeneza hizo ilani..tungejua km yeye ndie alizitengeneza na ndie atakeyekuwa kiongozi kusimamia mawazo yake.
 

Mfano Slaa akisema anenda kutekeleza ilani ya CHADEMA ikiwa ni pamoja na kurudia upya mchakato wa katiba, je atakuwa nje ya mstari au, naomba elimu tu!
 


Weka akiba ya maneno. Huyu mtu ni presidential material. Ataushangaza umma wa Watanzania. Kuwa makini sana kutumia maneno hasa kwa mtu ambaye ni rais mtarajiwa.
 
Mtu pekee anayeweza kuirudisha Tanzania kwenye msatari ni Magufuli. Hawa wengine wote ni joke tu!! Na mpaka sasa sielewi kwa nini hatumtumii huyu mtu.

Kweli kabsa,me ni mpinzani ila sipingi kila kitu
Kusema kwel huyu anatufaa
 
Weka akiba ya maneno. Huyu mtu ni presidential material. Ataushangaza umma wa Watanzania. Kuwa makini sana kutumia maneno hasa kwa mtu ambaye ni rais mtarajiwa.

Raisi wa nini? Labda kama Malinzi wa TFF amamaliza muda wake
 
Mfano Slaa akisema anenda kutekeleza ilani ya CHADEMA ikiwa ni pamoja na kurudia upya mchakato wa katiba, je atakuwa nje ya mstari au, naomba elimu tu!
Haha..Slaa ameshiriki kuiandaa na amekuwa km kiongozi kuanzia huko ,kitu kinachohakikishia kwamba atakuwa kiongozi ktk kutatua na kutekeleza ilani ya CDM akiwa Ikulu.Magufuli ni nyapara tuu na atabaki hivyo.CHapara huwa anafuata sheria za gereza km robot.Na akishazikariri anaweza tishia wafungwa hata akiota..kwani hua anaota kwa sauti..Magufuli nae ndivyo alivyo atazikariri zote na kuanza pita akizitema km cheche bila kujua hata zinatekelezwa vipi.
 
Lowassa ndiye Rais ajaye, hawa wengine wanamsindikiza tu katika safari yake ya Matumaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…