Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

Usiweke 'tumeshuhudia' weka 'nimeshuhudia husituweke hata ambao hatukuwepo tafadhali mkuu
 
Mnajitekenya na mnacheeka! Mwaona raaaaha du! Kwani hatuoni kuwa shule za sekondari zinafungwa na wanafunzi wana pewa tisheti za njano na kijani ili kuhudhuria? Hatuoni ofisi zikifungwa na wafanyakazi kulazimishwa kwenda kwenye mkutano? Mnajisifia nyomi na kutufanya hatuoni. Du!!! Kwani yale malori yanayoleta watu kwenye mikutano hatuyaoni? Nyomi ya mikutano ya Magufuli ni feki ila tu mmejidanganya na kudanganyika na mnataka kutudanya kwamba mnapendwa!! Loh!! Ila tu, Kilimanjaro hawadanganyiki. NAWAJUA FIKA,!
 


Watu wanakumbuka mateso ya usafiri wa adha kutoka Dar hadi Moshi - Arusha. Treni kurudi baada ya miaka 20 na ushee then kuna SGR Central line etc. Ni juha tu ambaye atabeza awamu hii ya 5. Kila Mtanzania anataka kuwa part of this big historic development of Tanzania and Africa to a larger extent. ........ ....... ...... remember fathers will be telling their sons ''I was there building this nation to where it is today''.

JPM hana mpinzani.





 



JPM afanya shopping kwenye kiwanda cha viatu
 

hahaha daaah, maisha haya kuna mengi ya kuskia
 
Ndugu huwajui wachaga vizuri

unjua maaana ya wchaga kunyanyua masale? zile ni ishu za kiimani kabisa, sasa kama mpaka magu kanyanyuliwa, kaa utulie tu maaana hakuna namna utafanya wachaga wakiamua, after all na leo alikua arusha, vp ngome yenu imegoma ama maaana kati ya sehem watu walikua wana wasiwasi nako ni kilimanjaro na arusha
 
Chadema inajifariji sana na hoja kuwa nyomi ya JPM inaletwa na Malori. Hivi nyomi ya kujaza viwanja vya mpira kama ile ya Dar, Tabora, Arusha, Mwanza na mengine itasombwa na lori ngapi. Lambda mji wote siku hiyo unaweza malori na mabati lakini bado. Basi kubwa inaveba watu 60 tu. Fikiria kwa watu 600000. Ni kujifariji lakini matokeo mtayaona kwenye Sanduku la kura mkiona JPM anapata zaidi ya 90 % mtaelewa ukweli. Msiache kurudi hapa
 
Kama ya Kilimanjaro imevunjika, kuna ngome nyingine imekuwa imara zaidi. Hii hapa


Kuzivunja zote kwa staili ile ile ya kuwanyima maendeleo si kazi nyepesi
 
Kwasababu mimi labda sio mchaga[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mimi ni mzawa wa klm
 
Sawa ni watz, ila vyama vingne haviendi mikutanoni na wasanii na bado vinapata nyomi...thubutuni na nyie muone.
Sidhani kwamba vyama vingine vimezuiliwa kwenda na wasanii. Kwanini wasiende nao kama wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…