Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

Walipelekwa na mabasi kutoka maeneo mengine. Wenye mji wao walikuwa busy na kazi zao. Maduka yalikuwa yanapiga biashara. Lissu walifunga biashara na nyomi kuanzia njiani.
 

Mimi ni mtoto wa mkulima wa kahawa nafahamu kilichowatokea wakulima wa kahawa akiwamo baba yangu. Wakati zao la kahawa kwa wakulima wadogo likifa mkoani Kilimanjaro nilikuwa na akili timamu na sababu ni serikali kuondoa ruzuku ya madawa baada ya Mbunge wa wakati Augustino Mrema kushinikiza Bungeni mkulima apewe bei kamili madawa atanunua mwenyewe
 
Hana ubavu huo.siyo kilimanjaro tuu hata manyara ,arusha haweziii
 
Mleta mada na hicho chanzo chako cha taarifa mnaonekana wazi hamuwajui vema jamii za mkoa wa Kilimanjaro, maana msingejidanganya hivyo.



JESUS IS LORD.
 
Siku nikikuta Johnthebaptist amelike utopolo kama huu ndo nitajua CCM imeishiwa kabisaaaa!
 
Sio vyepesi hivyo. Propaganda na organized impressions has nothing to do with people's deeply political affiliation
 
Juzi mheshimiwa alipokuwa Bagamoyo nilishangaa anauliza na watu wa Kisarawe mtampa Jafo wakaitikia, akawauliza na wa Chalinze mtampa Riz wakaitikia na wa Kibiti wakaulizwa nao walikuwepo pale Mwanakalenge Bagamoyo.

Hii ndio mikutano ya CCM wanakusanyana wa kila kona kuongeza vichwa. Tutajuana tarehe 28.10.2020 ni yeye Tundu Lissu
 
Alimpa Lissu Ulemavu kwa risasi, yeye Mungu anamnyoosha yan vimiguu vinakwisha kwa kasi kama mgonjwa wa polio
 
kwa ccm hii ya sasa kwa gharama yoyote ile lazima nyomi ipatikane nyomi ambazo hazina uhalali sio kitu cha ajabu
makada wa ccm mmeshaacha kututambishia hizo nyomi
 
Huko chato kashindwa vunja ngome ya cdm,moshi hawana muda nae kasomba watu kutoka manyara na mabasi usiku kucha[emoji16][emoji16][emoji16]maendeleo tunayo toka 1960 wakti mpka leo chato wanakunywa maji na mifugo
 
lumumbenizing
 
Umedanganywa kibwege sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…