Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli amfuta rasmi Freeman Mbowe jimboni Hai

Wewe pumba kabisa anaye muhenyesha bungeni Waziri Mkuu kila ahamisi kwenye maswali ya papo kwa ppo ni nani? Kuweni na kumbukumbu

Wanamhenyesha bungeni halafu hawajui kama kuna shule zisizokua na madarasa wala madawati majimboni kwao hadi wanaporudi kuomba kura..... hawajui mahitaji wa waliowapa kazi eti wakifika huko ndio wanaanza kupaza sauti na kuilaumu serikali kama vile walishayawakilisha😂😂😂
 
Kesho ngome nyingine ya saccos inakwenda kuanguka. CCM ni bonge la chama, na kiongozi wa demokrasia afrika nzima. Uchaguzi huu, utaweka Somo chungu kwa Mbowe na genge lake, Magufuli amewasonga mpaka visigino hampumui yani dah. Magufuli tano tena.
 
Mbowe kwisha,arudi kwenye kazi yake ya udj kuchezesha wa mziki.
 
Vipi kuhusu chato?
 
Mbowe is a political heavyweight and he cannot be defeated by a political lightweight such as the ccm candidate.
He is a master strategist with impeccable history not in Hai but nationally.
He has defined all politics odds in this country.
Whatever magufuli is doing and his stooge, stupid neofascist lengai cannot stop Haaians from electing him with massive votes, whatever government machineries are at play,that he has been.l thrown on him. Mbowe will win comfortably.
 
Naona Lumumba mmefungua ofisi humu

Tushasema mtajua hamjui mwaka huu

Wananchi tunawaangalia tu mstuone wajinga Ila
Jeurii yetu ipo kwenye sanduku.

Natumai mnamsikia uyo Jingalao akituomba tusipige kura za hasira.

Yaaan kura za mwaka huu ni za HASIRA
 

Kwani huku kumekua kwa UFIPA peke yenu???

Wananchi tupo huru
 
Post kama hizi za kipuuzi usilete humu amfuta Mboe kwa hizo siesta au kwa lipi,acha upuuzi
 
Mbowe Kwishney.
 
I can't breath!
 
Jimbo linaloongozwa na mbunge tena mkuu wa kambi rasmi kukosa maji, hospital, barabara ni uzembe ulioje
Hatudanganyiki. Mbunge kai yake siyo kuleta maji jimboni ewe lumumba, hilo ni jukumu/kazi ya serikali. Kwasabb mbunge hakusanyi kodi bali serikali. Shubamiti!!!
 
Mawazo ya kuua hatari sana

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Washamba katika ubora wenu Mbowe akiwa kijana mdogo akiwa mfanyakazi Bank kuu alimiliki BMW brand new ufananishe na hilo aliloporwa na Jiwe
Mbowe alikuwa na wadhifa gani pale benki kuu? Pia naomba kiwango cha elimu cha mbowe na vyuo alivyosomea if possible
 
Sidhan kama siasa ni ugomvi tatizo la maji ,na mambo mengi zipo ktk kila Jimbo hapa Tanzania tatizo sio upinzani maana hata majimbo wanapotokea chama tawala wimbo ni ule ule siasa mbaya sana tafuta ela ishi na familia yako vema
 
Ndagha manafyale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…