Watu hawaamui leo walishaamua.Kesho ngome nyingine ya saccos inakwenda kuanguka. CCM ni bonge la chama, na kiongozi wa demokrasia afrika nzima. Uchaguzi huu, utaweka Somo chungu kwa Mbowe na genge lake, Magufuli amewasonga mpaka visigino hampumui yani dah. Magufuli tano tena.
Shida ni kuwa watu hawawaelewi watu wanaoitwa wachaga! Hawako hivyo. Ngoja mtaona siku ya kutangaza matokeo!!Huyu mrundi bila majambaxi kama sabaya hana chake mwaka huu. Hayo angeyasema kwa warundi wangeelewa kakini hai???? Akanye kwanza. Jamaa kakonda kama ngonda
Mkuu najua wewe ni mkongwe humu ndani na kiumri pia,hivi unaonaje IQ za vijana wetu hawa hasa ukizingatia wote wamefika chuo kikuu kama wanavyojitanabaisha?I can't breath!
Nonesense in its totalityLeo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama uuaji mwingine.
Magufuli ambaye alianza taratibu kwa kumfyatua mtama na kumweka chini kwa kusema alimpa gari kubwa na zuri la gharama hili asaidiane nae katika kujenga nchi lakini yeye akawa anaendenalo kusiko julikana. Baada ya hapo Magufuli ndiyo akaamua kumwekea goti shingoni ambapo Mbowe alisikika kwa shida akisema unaniua, lakini Magufuli akazidi kukandamiza huku wapambe wake wakishangilia kwa kusema yeye amekuwa mwalimu wa kufundisha wabunge kuziba midomo na vitambaa na kuwaambia wana Hai kuwa huyu mtu mlikosea si kidogo amekuwa shida ya kuleta maendeleo katika jimbo la Hai.
Magu akaona hiyo haitoshi akaamua kumziba kabisa na pua hili kuukatiza uhai wake pale aliposema kuhusu huyu jamaa alivyowatoa wabunge wake wote bungeni wakimbie Korona. Anasema korona ni mbaya lakini Mbowe ndiyo mbaya zaidi kwani alikuwa anataka kuutumia ukuu wake wa kambi rasmi bungeni watu wafungiwe ndani hili wafe na njaa, hili tamko lake alilowai kulisema huko nyuma litimie kuwa lazima Tanzania ibebe majeneza.
Magufuli aliendelea kufaya ukatili huo huku wana hai wakishangilia kwa kelele wakati uhai wa mboe ukitoweka kwa kuwaambia je mlimchagua kuja kususa bungeni au kujenga hoja kufikia maendeleo.
Magu huku akiwa amwmwekea goti na akiwa amemkazia macho usoni alisema huyu simwachi amenitesa sana maana alikuwa ananifunga miguu na mikono minyororo alafu natumwa nipeleke maji Hai nimeteseka sana sasa nammalizia. Mwisho wa kunukuu.
Wanahai huku wakishuhudia kifo hicho wameendelea nao kupigilia misumari juu ya jeneza kwa kusema hawajawai kumwana hapo tangia awe mbunge, hila wanamwona katika taharifa za habari na mambo ya kitaifa kama kususa bungeni na kujificha wakati wa korona na matumizi mabaya ya ruzuku. Mzee mmoja ambaye tulishindwa kupata jina lake yeye alisema kuwa licha ya kuwa ametuacha pia ni mpinafsi sana kwani ameifanya Hai kuwa kisiwa ambacho kinafikiwa kwa shida hivyo kwa kifo chake ukombozi umefika.
He was a Bank Clerk. Highest qualification "O" level div 4, "A" level failure.Mbowe alikuwa na wadhifa gani pale benki kuu? Pia naomba kiwango cha elimu cha mbowe na vyuo alivyosomea if possible
Kamfuta kwa kutumia mbinu hizi chafu.Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama uuaji mwingine.
Magufuli ambaye alianza taratibu kwa kumfyatua mtama na kumweka chini kwa kusema alimpa gari kubwa na zuri la gharama hili asaidiane nae katika kujenga nchi lakini yeye akawa anaendenalo kusiko julikana. Baada ya hapo Magufuli ndiyo akaamua kumwekea goti shingoni ambapo Mbowe alisikika kwa shida akisema unaniua, lakini Magufuli akazidi kukandamiza huku wapambe wake wakishangilia kwa kusema yeye amekuwa mwalimu wa kufundisha wabunge kuziba midomo na vitambaa na kuwaambia wana Hai kuwa huyu mtu mlikosea si kidogo amekuwa shida ya kuleta maendeleo katika jimbo la Hai.
Magu akaona hiyo haitoshi akaamua kumziba kabisa na pua hili kuukatiza uhai wake pale aliposema kuhusu huyu jamaa alivyowatoa wabunge wake wote bungeni wakimbie Korona. Anasema korona ni mbaya lakini Mbowe ndiyo mbaya zaidi kwani alikuwa anataka kuutumia ukuu wake wa kambi rasmi bungeni watu wafungiwe ndani hili wafe na njaa, hili tamko lake alilowai kulisema huko nyuma litimie kuwa lazima Tanzania ibebe majeneza.
Magufuli aliendelea kufaya ukatili huo huku wana hai wakishangilia kwa kelele wakati uhai wa mboe ukitoweka kwa kuwaambia je mlimchagua kuja kususa bungeni au kujenga hoja kufikia maendeleo.
Magu huku akiwa amwmwekea goti na akiwa amemkazia macho usoni alisema huyu simwachi amenitesa sana maana alikuwa ananifunga miguu na mikono minyororo alafu natumwa nipeleke maji Hai nimeteseka sana sasa nammalizia. Mwisho wa kunukuu.
Wanahai huku wakishuhudia kifo hicho wameendelea nao kupigilia misumari juu ya jeneza kwa kusema hawajawai kumwana hapo tangia awe mbunge, hila wanamwona katika taharifa za habari na mambo ya kitaifa kama kususa bungeni na kujificha wakati wa korona na matumizi mabaya ya ruzuku. Mzee mmoja ambaye tulishindwa kupata jina lake yeye alisema kuwa licha ya kuwa ametuacha pia ni mpinafsi sana kwani ameifanya Hai kuwa kisiwa ambacho kinafikiwa kwa shida hivyo kwa kifo chake ukombozi umefika.
Hili umeliona,lambda Zitto alimuogopa.Alishakiri Zito hata mbowe atakiri tuu
5days to go👏👏👏👏👏👏
Kama unautaka ukweli in huo hapo chiniLeo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama uuaji mwingine.
Magufuli ambaye alianza taratibu kwa kumfyatua mtama na kumweka chini kwa kusema alimpa gari kubwa na zuri la gharama hili asaidiane nae katika kujenga nchi lakini yeye akawa anaendenalo kusiko julikana. Baada ya hapo Magufuli ndiyo akaamua kumwekea goti shingoni ambapo Mbowe alisikika kwa shida akisema unaniua, lakini Magufuli akazidi kukandamiza huku wapambe wake wakishangilia kwa kusema yeye amekuwa mwalimu wa kufundisha wabunge kuziba midomo na vitambaa na kuwaambia wana Hai kuwa huyu mtu mlikosea si kidogo amekuwa shida ya kuleta maendeleo katika jimbo la Hai.
Magu akaona hiyo haitoshi akaamua kumziba kabisa na pua hili kuukatiza uhai wake pale aliposema kuhusu huyu jamaa alivyowatoa wabunge wake wote bungeni wakimbie Korona. Anasema korona ni mbaya lakini Mbowe ndiyo mbaya zaidi kwani alikuwa anataka kuutumia ukuu wake wa kambi rasmi bungeni watu wafungiwe ndani hili wafe na njaa, hili tamko lake alilowai kulisema huko nyuma litimie kuwa lazima Tanzania ibebe majeneza.
Magufuli aliendelea kufaya ukatili huo huku wana hai wakishangilia kwa kelele wakati uhai wa mboe ukitoweka kwa kuwaambia je mlimchagua kuja kususa bungeni au kujenga hoja kufikia maendeleo.
Magu huku akiwa amwmwekea goti na akiwa amemkazia macho usoni alisema huyu simwachi amenitesa sana maana alikuwa ananifunga miguu na mikono minyororo alafu natumwa nipeleke maji Hai nimeteseka sana sasa nammalizia. Mwisho wa kunukuu.
Wanahai huku wakishuhudia kifo hicho wameendelea nao kupigilia misumari juu ya jeneza kwa kusema hawajawai kumwana hapo tangia awe mbunge, hila wanamwona katika taharifa za habari na mambo ya kitaifa kama kususa bungeni na kujificha wakati wa korona na matumizi mabaya ya ruzuku. Mzee mmoja ambaye tulishindwa kupata jina lake yeye alisema kuwa licha ya kuwa ametuacha pia ni mpinafsi sana kwani ameifanya Hai kuwa kisiwa ambacho kinafikiwa kwa shida hivyo kwa kifo chake ukombozi umefika.
Sasa si uwaulize tu? Mimi sijui.Mkuu najua wewe ni mkongwe humu ndani na kiumri pia,hivi unaonaje IQ za vijana wetu hawa hasa ukizingatia wote wamefika chuo kikuu kama wanavyojitanabaisha?
Magufuli kiboko yao. Nimefurahi Sana, hatimaye Ukombozi unakuja. Jimbo linaloongozwa na mbunge tena mkuu wa kambi rasmi kukosa maji, hospital, barabara ni uzembe ulioje. Huyu mjasiriamali hakai hai, kule anakuja chaguzi kwa chaguzi huyu pongo atavuna alicho panda. Kashindwa hadi na mbatia wa vunjo,kule maji yapo at least, barabara na hospital kiasi. Saccos kwisha kabisa, na Sera zenu za ushoga shoga hakuna atakayewanunua hata kwa bure. Viva Magufuli.
Kwani na yeye Mbowe ametekwa?Sasa si uwaulize tu? Mimi sijui.
Mbunge analeta connection kutoka kwenye main supply. Hai imetwaliwa. Kwa jinsi wananchi wa hai walivyopigika na makucha ya yule dhalimu mjasiriamali kura watatoa tu. Maji, hospital, barabara zitakuwa kama ulaya akija safisha.Hatudanganyiki. Mbunge kai yake siyo kuleta maji jimboni ewe lumumba, hilo ni jukumu/kazi ya serikali. Kwasabb mbunge hakusanyi kodi bali serikali. Shubamiti!!!
magu hawezi kuwa shujaa never on a Earth..Hahaha Tena wa kukumbukwa sahau my friend na jiwe si lolote bali mnyonya damu tu hana miujiza anaforce kila kitu kiwe njia yake...Ogopa sana matendo yako yakishindwa jieleza Yani wew ni uchafu ndani ya takatakaHa ha ha mchango gani?. Kutoka bungeni, kuziba midomo, kutaka tulundikwe lockdown labda kwako ndio michango hiyo. Hai pako hoi mpaka aibu. Huyu mwenyekiti hakai kule, uchaguzi kwa uchaguzi anatimba kupiga debe akivini anasepa mazima. Magufuli, nchi hii itakukumbuka shujaa. Kilimanjaro umeacha record isiyofutika. Nadhani watu watakesha vituoni kusubiri kukupongeza kwenye box la kura. Kipondo kipo palepale.
I can't breath!
Anazikiwa wapi ? mwandishiLeo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama uuaji mwingine.
Magufuli ambaye alianza taratibu kwa kumfyatua mtama na kumweka chini kwa kusema alimpa gari kubwa na zuri la gharama hili asaidiane nae katika kujenga nchi lakini yeye akawa anaendenalo kusiko julikana. Baada ya hapo Magufuli ndiyo akaamua kumwekea goti shingoni ambapo Mbowe alisikika kwa shida akisema unaniua, lakini Magufuli akazidi kukandamiza huku wapambe wake wakishangilia kwa kusema yeye amekuwa mwalimu wa kufundisha wabunge kuziba midomo na vitambaa na kuwaambia wana Hai kuwa huyu mtu mlikosea si kidogo amekuwa shida ya kuleta maendeleo katika jimbo la Hai.
Magu akaona hiyo haitoshi akaamua kumziba kabisa na pua hili kuukatiza uhai wake pale aliposema kuhusu huyu jamaa alivyowatoa wabunge wake wote bungeni wakimbie Korona. Anasema korona ni mbaya lakini Mbowe ndiyo mbaya zaidi kwani alikuwa anataka kuutumia ukuu wake wa kambi rasmi bungeni watu wafungiwe ndani hili wafe na njaa, hili tamko lake alilowai kulisema huko nyuma litimie kuwa lazima Tanzania ibebe majeneza.
Magufuli aliendelea kufaya ukatili huo huku wana hai wakishangilia kwa kelele wakati uhai wa mboe ukitoweka kwa kuwaambia je mlimchagua kuja kususa bungeni au kujenga hoja kufikia maendeleo.
Magu huku akiwa amwmwekea goti na akiwa amemkazia macho usoni alisema huyu simwachi amenitesa sana maana alikuwa ananifunga miguu na mikono minyororo alafu natumwa nipeleke maji Hai nimeteseka sana sasa nammalizia. Mwisho wa kunukuu.
Wanahai huku wakishuhudia kifo hicho wameendelea nao kupigilia misumari juu ya jeneza kwa kusema hawajawai kumwana hapo tangia awe mbunge, hila wanamwona katika taharifa za habari na mambo ya kitaifa kama kususa bungeni na kujificha wakati wa korona na matumizi mabaya ya ruzuku. Mzee mmoja ambaye tulishindwa kupata jina lake yeye alisema kuwa licha ya kuwa ametuacha pia ni mpinafsi sana kwani ameifanya Hai kuwa kisiwa ambacho kinafikiwa kwa shida hivyo kwa kifo chake ukombozi umefika.
Sasa subiri huo umiliki wa BMW kama italeta maji, barabara na hospitali hapo Hai.Washamba katika ubora wenu Mbowe akiwa kijana mdogo akiwa mfanyakazi Bank kuu alimiliki BMW brand new ufananishe na hilo aliloporwa na Jiwe
Jamani majimbo ya Songea wabunge na madiwani wote ccm lakini hakuna kitu, yote kwa yote ni Magufuli katutelekezaMagufuli kiboko yao. Nimefurahi Sana, hatimaye Ukombozi unakuja. Jimbo linaloongozwa na mbunge tena mkuu wa kambi rasmi kukosa maji, hospital, barabara ni uzembe ulioje. Huyu mjasiriamali hakai hai, kule anakuja chaguzi kwa chaguzi huyu pongo atavuna alicho panda. Kashindwa hadi na mbatia wa vunjo,kule maji yapo at least, barabara na hospital kiasi. Saccos kwisha kabisa, na Sera zenu za ushoga shoga hakuna atakayewanunua hata kwa bure. Viva Magufuli.