Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli amfuta rasmi Freeman Mbowe jimboni Hai

Unajifunza kuandika hadithi, jitahidi tu Hai ni ya mbowe
 
Kungekua hakuna corona akope benki ya maendleo ya Africa bilion 19 za nini ?
 
..kwa mtizamo wangu Magufuli ameharibu ktk ziara yake ya Kilimanjaro na Arusha.

..kwanza, kauli alizotoa zilikuwa zinathibitisha kwa kinywa chake mwenyewe kwamba yeye ni MBAGUZI kwa misingi ya itikadi.

..pili, badala ya kuwa mnyenyekevu na mpatanishi, ameendelea kutoa VITISHO vya kuendeleza ubaguzi ktk siasa zetu, badala ya kuomba kura.
 
Kwa kusaidiwa na policcm NEC na TISS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…