Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Japo mabadiliko ni muhimu ila ni upuuzi kubadilisha tairi mbovu kwa kuweka ilio expire!

MAGU GANG WORLDWIDE (MGW)
 
Unaitaja Libya katika kumtetea Magu? Unajua kwa nini Libya walimchukia Gaddafi kiasi cha kumuchomekea vijiti nyuma kabla ya kumuua? Alifanyia watu ushenzi usio andikika akijiona yeye ndiye Alfa na omega.

Sasa huyu naye anafanya ya Gaddafi pia?
 
Ndivyo mlivyomdaganya akadaganyika... Sasa kihoro kinsmfanya Kila third arudi garage!!
 
Amsterdam anakazi kubwa ya kumbembeleza baby wake siku 12 zijazo. Naskia kaweka kambi TZ[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23]
 
Na wanatakiwa kuwa wavumilivu,maana Magufuli lazima atarudi tu Ikulu😃.
Wajitahidi tu kuhakikisha wanaingiza angalau wabunge watano bungeni lasivyo serikali itakuwa Ni kijani tupu, na titamuongezea Muda Rais wetu.
 
You're JUST A DAY DREAMER from Lumumba street.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…