Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Nchi gani ambayo haina matukio kama haya?Utekaji, mauaji, ubambikaji kesi kwa raia wema wasio na hatia, kutopandisha mishahara kwa miaka mi5, kufuta ajira kwa wahitimu wa vyuo, ubaguzi wa kichama, ukabila, ..nk
Weka majibu tucheke hapaMajibu aliyopewa sasa kule Twitter ndiyo utajua ni kiasi gani huyu anachukiwa.
View attachment 1601637
Mlisema mitandaoni hakuna wapiga kura sasa Leo mnakula matapishi yenuWatanzania kwa umojawetu tutamchagua JPM kipenzi chetu.
Unaona kawaida Kwa vile mabaya hayo hayajaigisa familia yako. Unajiona upo salama, Siku mkiguswaga mnatoaga sana milio na kuomba muungano wa kupinga maovu hayo kwenu. Time will tell.Nchi gani ambayo haina matukio kama haya?
MAGUFULI4LIFE.
Wale walionyeshewa na mvua majuzi segerea pia hawatamchagua?Anazo labda mbili...ya kwako johnthebaptist na ya Pascal Mayalla. Ya kwangu aliikosa toka 2015 mara tu baada ya kuapishwa!
Nchi gani ambayo haina matukio kama hayo? Mbona unakwepa kujibu? Ukiwa mfuata upepo kuna muda tu utakosa muelekeoUnaona kawaida Kwa vile mabaya hayo hayajaigisa familia yako. Unajiona upo salama, Siku mkiguswaga mnatoaga sana milio na kuomba muungano wa kupinga maovu hayo kwenu. Time will tell.
Walishakariri ili ufanikiwe lazima uwe mpiga dili...Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.
MAGUFULI4LIFE.
CCM ndo Tanzania na Tanzania ndo CCM,kama utaki kunya Nissan Duorus tupande.Mlisema mitandaoni hakuna wapiga kura sasa Leo mnakula matapishi yenu
Something is wrong with you hujui maana ya Chama cha Siasa au unajifanya uonekane mjinga kwa fedha kidogo za matumiziCCM ndo Tanzania na Tanzania ndo CCM,kama utaki kunya Nissan Duorus tupande.
Hivi kweli ana muda wa kuyasoma hayo majibu? Si ajabu hata hilo bandiko hajaandika yeye.Huku kwenye mitandao atakufa kwa shinikizo la damu.
Watu hupenda pilipili japo ladha yake ni maumivu.Yaani nimecheka hahaha yaani tunamchukia at the same time tunampenda sana duhh hii mpya
Sawa tutakuletea gwaji boy chumbani kwako kwani gwajiboy show anaiweza saaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaUsipate tabu hii hapa bossView attachment 1601694
Tatizo huyu jamaa ni kama magugu maji. Yakifyekwa yanaota kwa kasi ya ajabu.Naona kama tarehe 28 October 2020 inachelewa nimfyekelee mbali huyu kandingara mhutu.
Watu walio wengi wanakataga kauli wakikaribia kufa.Tumeshakata kauli....tunakwenda na Lissu 2020...over!!