Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Utekaji, mauaji, ubambikaji kesi kwa raia wema wasio na hatia, kutopandisha mishahara kwa miaka mi5, kufuta ajira kwa wahitimu wa vyuo, ubaguzi wa kichama, ukabila, ..nk
Nchi gani ambayo haina matukio kama haya?

MAGUFULI4LIFE.
 
Nchi gani ambayo haina matukio kama haya?

MAGUFULI4LIFE.
Unaona kawaida Kwa vile mabaya hayo hayajaigisa familia yako. Unajiona upo salama, Siku mkiguswaga mnatoaga sana milio na kuomba muungano wa kupinga maovu hayo kwenu. Time will tell.
 
Wazee nao wanasemaje huko field.
 
Attachments

  • KWA MATANGAZO PIGA SIMU NO 0768630363 .mp4
    13.9 MB
Unaona kawaida Kwa vile mabaya hayo hayajaigisa familia yako. Unajiona upo salama, Siku mkiguswaga mnatoaga sana milio na kuomba muungano wa kupinga maovu hayo kwenu. Time will tell.
Nchi gani ambayo haina matukio kama hayo? Mbona unakwepa kujibu? Ukiwa mfuata upepo kuna muda tu utakosa muelekeo

MAGUFULI4LIFE
 
Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.

MAGUFULI4LIFE.
Walishakariri ili ufanikiwe lazima uwe mpiga dili...
 
Magufuli wewe anza kufikiria kupanga Baraza lako jipya la awamu yako ya pili na ya mwisho.
safari hii weka baraza wenye spidi ya umeme ili mambo yaende kwa kasi.....
 
Back
Top Bottom