Kupandisha madaraja kuna vigezo sio kwamba watu wanapandishwa holela; mfano kuna muda wa miaka ambayo lazima uwe umekaa katika cheo kimoja, pili kuna cheo kina sifa ya elimu lazima uwe nayo mfano wewe uliingia kazini na degree ya kwanza na ukapanda cheo mara moja kupanda tena ili kuwa senior lazima uwe na degree ya pili.Wafanyakazi ambao hatupandishwa madaraja yetu kwa haki..wala hatujaongezewa mishahara tangu kipindi cha JK au watumishi gani unaongelea tuliopandishiwa na bodi ya mikopo kutoka 8 mpk 15 asilimia na retantion fee ya aslimia 6.....
labda kama ww ni mtumishi wa kuteuliwa
Lakini kwa uhakika watumishi mwezi Mei 2019 walipandishwa madaraja na mwaka huu wamepadishwa pia.