Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

View attachment 1607785

Masista hao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara.

Licha ya mazungumzo, masista hao walimuombea Magufuli baraka.

View attachment 1607783

View attachment 1607784
Wanafiki KAZINI ...Ben Saanane kapote mpaka leo eti mnahubiri haki...
 
Wanakaa pembezoni mwa barabara ili waonekane................ ole wao..
 
Hawa mabikira wengi wao ngozi zao sio nyeupe.
Maombezi yao hayana maana yoyote.
 
Masista wa Bikira Maria wanazuga tu ila kura Watampa Tundu Lissu
Kama walivyo wenzao wa Rulenge
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

View attachment 1607785

Masista hao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara.

Licha ya mazungumzo, masista hao walimuombea Magufuli baraka.

View attachment 1607783

View attachment 1607784

Jesuits? .... all the way to ITALY, The Vatican AGAIN. HUH?
 
Waombee Wewe, Rais Magufuli anaombewa na watu wa Mungu ila sio mlevi kama wewe
Wangewaombea zaidi akina Azory, Ben Saa Nane, Lwajabe na Akwilini. Ndio maana maombi mengine yanaishia Kona Bar Sinza.
 
Toka lini masista wanainua mikono na kumuombea mtu baraka?
 
Back
Top Bottom