Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

Wanafiki KAZINI ...Ben Saanane kapote mpaka leo eti mnahubiri haki...
 
Wanakaa pembezoni mwa barabara ili waonekane................ ole wao..
 
Hawa mabikira wengi wao ngozi zao sio nyeupe.
Maombezi yao hayana maana yoyote.
 
Masista wa Bikira Maria wanazuga tu ila kura Watampa Tundu Lissu
Kama walivyo wenzao wa Rulenge
 

Jesuits? .... all the way to ITALY, The Vatican AGAIN. HUH?
 
Waombee Wewe, Rais Magufuli anaombewa na watu wa Mungu ila sio mlevi kama wewe
Wangewaombea zaidi akina Azory, Ben Saa Nane, Lwajabe na Akwilini. Ndio maana maombi mengine yanaishia Kona Bar Sinza.
 
Toka lini masista wanainua mikono na kumuombea mtu baraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…