Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Ni makosa makubwa kunjea uwanja wa ndege Chato ili kenge na mijusi wapate runway

Magufuli ni rais bomu kuwahi kutokea Afrika na wenye akili timamu wote wanamcheka kabakiwa na Mu7 na Burundy tu
 
Angekuwa anajenga uwanja Chato tu na kusahau kujenga mikoa mingine mimi ningekuwa wa kwanza kumpinga.

Anajenga viwanja vya ndege kila kona ya Tanzania, anapanua bandari zote muhimu.

Anajenga meli mpya na kukarabati za zamani. Mahospitali kila mkoa, huduma nyingi za kijamii zinaboreshwa.

Uwanja wa Chato utakuja tu kuwa muhimu kwani ndio kwanza watanzania tupo milioni 59 hatujafikia milioni 190 kama Nigeria.

Mimi nauona uwanja wa ndege Chato kwanza kama alternative ya Mwanza airport pili nauona katika mtazamo wa fursa ya kiuchumi yenye tija kwa Taifa.
 
Tupe faida 2 za kua na kiwanja chato
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
 
Ingekuwa hivyo basi uwanja ungeoaswa kujengwa kahama kama alternative ya Chato!Tembea uone,sio unahadithiwa tu!Chato kwenye magari ya kuhesabu!Mahitaji ya uwanja wa ndege chato yanaweza kuja kuwepo baadaye sana yaani miaka mingi ijayo!Sasa tuna resources chache,kwanini pasingetengwa eneo na wakati utakapofika wa mahitaji ya huduma hiyo ndio pakajengwa uwanja?Kwani usipojenga leo huwezi kujenga tena baada ya miaka 15 au 20?Hizo pesa zingeenda kujenga uwanja sehemu yenye mahitaji kwa sasa,huoni kwamba tungeweza kuzalisha fedha kupitia uwanja huo ambazo baadaye zingeenda kujenga chato au kwingineko kulingana na mahitaji ya wakati huo?Tembeeni muone miji ilivyo na haina uwanja wa ndege halafu linganisheni na chato!Bold and clear,chato tumeenda kuzika fedha kwa miaka hii ya karibuni!Ninachoona hapa ni kutetea upande na si hoja iliyoko mezani!
 
Chato utakuwa mji mkubwa siku zijazo.

Wataalam wa mamlaka ya anga hawakufanya kosa kujenga uwanja mahali pale.

Kahama kunaweza kujengwa vitu vingine muhimu kiuchumi.

Pesa hazijazikwa zimewekezwa. Tuwe wavumilivu tu sio kila kitu kupinga.
 
Yaani ukiwasikiliza CCM wanavyodandia hoja za mgombea Urais wa CHADEMA kuhusu ununuzi wa ndege na Ujenzi wa uwanja wa CHATO, ukiwaangalia wafuasi wa CCM unacheka unasema hiiii!

Sikilizeni wana CCM, Tundu Lissu anasema kuna harufu ya Ufisadi kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege Chato kwenye maeneo haya, msibabaike muulizeni mgombea Urais wenu acheni kupotosha anachouliza Lissu.

1. Tenda ya kununua ndege ilitangazwa lini maana ndiyo utaratibu wa manunuzi ya umma?

2. Kwanini Kampuni inayojenga uwanja wa ndege wa Chato ni ya mume mwenza na mgombea wenu? Taratibu za tenda zilifuatwa?

Maswali madogo mnashindwa kuyajibu kwanini? Kuna aliyakataa ununuzi wa ndege?
 
CCM ni kusema ndiyo Mzee. Jichunguzeni sio kwamba watanzania wanawachukia,jitambueni tu then mengine yatafuata. Kuna ufisadi mkubwa Sana umefanyika.

Mgombea wenu alishindwa uchaguzi huu mkuu atsikimbia nchi mwenyewe kwa madhambia aliyoyafanya. Mmefichwa mambo mengi Sana Sana.
 
We subili siku mkifika Chato muwambie kwa nini wao hahitaji maendeleo.
 
1.Tenda ya kununua ndege ilitangazwa lini maana ndiyo utaratibu wa manunuzi ya umma?
2.Kwanini Kampuni inayojenga uwanja wa ndege wa Chato ni ya mume mwenza na mgombea wenu? Taratibu za tenda zilifuatwa?
Swali jingine kwann uwanja ujengwe Kijijini kwa rais na siyo Geita mjini ama Katoro?
 
Swali jingine kwann uwanja ujengwe Kijijini kwa rais na siyo Geita mjini ama Katoro?
Tangu aingie madarakani wafanyakazi wa tanroads ni miungu watu.hawatumbuliwi, ni kupandishwa vyeo kila kukicha. Kuna mama mmoja Yuko ubalozini YEMEN. Alipanda Kama uyoga madudu ni mengi kupita kiasi.
 
Manunuzi ya umma sharti yafuate taratibu zilizowekwa. Watu pamoja na kuhoji umuhimu pia kama utaratibu wa manunuzi ulifuatwa. Ni rahisi tu kujibu. La sivyo kuna harufu ya ufisadi.
 
Wana CCM wengi ni "vishohia"
ndo maana wanakimbia midahalo, wao kutwa kupotosha na kujificha kwenye ID feki.
 
Punga lingine hili hapa
Sishangai hata picha uliyo weka inaweza kuwa ya kwako

Nendeni mkawape majibu hao watu wa chato, kwa nini wao hawafai kuwa na mbuga na kiwanja cha ndege pamoja na taa?

Na muwambie kodi za madini ma mazao zinatakiwa zikaendeleze wapi kama sio huko?

Kwa sasa mmeanza kukosa fulaha maana leo huko ngara mgombea ameshindwa kushuka kwenye gari maana watu hawakuwapo kwenye mkutano, nadhani tegemeo kwa sasa ni bukoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…