Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

ATCL ina madeni mengi sana. Kama ndege zingeinyizwa huko lazima zingechukuliwa na wadai. Airline nyingi zina hasara. Ina maana sababu ya hasara ndio hatuhitaji ndege?
Sasa kwa sababu ni biashara ya hasara Ndio tunahitaji Ndege?
 
Watanzania tumejaa chuki za kipuuzi mpaka tunasahau siku za nyuma tulisema jambo gani.

Hao hao waliomcheka JK kwa kushindwa kuwa na shirika la ndege ndio hao wanaosema leo kuwa ndege hazina faida.

Watanzania ni kuwasikiliza na kuendelea na shughuli zako kama vile hawapo.
Issue sio tuwe na ndege au la
The issue is,,,. Hizi ndege nani anaejua zimenunuliwaje zaidi ya Mr Pombe na mtoto wa sister wake?
Je mayanga congratulations companies
Ilipataje ukandarasi wa kujenga?
Je kuna Zaburi ilitangazwa?
Too much questions very few answers
 
Kusema taarifa za ndege hazijulikani kwa watu ni upotoshaji wenye malengo ya kisiasa.

Na kwa bahati mbaya jamii yetu ya kiafrika ni ile yenye kulelewa kishirikina, ni rahisi sana kudanganyika.
 
Hivi uwanja wa ndege ungejengwa Singida Ikungi angepiga kelele huyu?
 
Hivi uwanja wa ndege ungejengwa Singida Ikungi angepiga kelele huyu?
of course angepiga kelele
Pombe ni Rais pekee kutumia fedha za ummah kujenga uwanja wa kimataifa kwenye samba la babake kwa matumizi binafsi
 
Anatakiwa kujibu hoja :
  1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
  2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
  3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
  4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka Chato?
  5. Baada ya yeye kumaliza urais huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
  6. Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
  7. Mbona anakuwa anatoa majibu kiukali kwani kuna nini vile?
  8. Asitufokee, lazima ajue sisi ndiyo tunamlipa mshahara na kiinua mgongo mara akistaafu.
Wakuu haya maawali anayachukia na nyinyi mnazidi kumchoma kwenye jeraha atazimia
 
Ndege zinahitajika. Cha msingi ni kujenga accountability kwa waliopewa dhamana ya kusinamia biashara hiyo
Nchi yetu ni masikini kufanya biashara ya hasara
Hio hasara ya mabillioni afadhali wangejengewa nyumba wahanga wa mafuriko na wahanga wa tetemeko la ardhi
 
Nchi yetu ni masikini kufanya biashara ya hasara
Hio hasara ya mabillioni afadhali wangejengewa nyumba wahanga wa mafuriko na wahanga wa tetemeko la ardhi

Biashara hii si ya hasara kama itakuwa managed properly. Ethiopia airlines makes profit. Why?
ATCL ya zamani watu walikuwa wanagwana tickets. Mtaendeshaje biashara namna hiyo ikawa na faida?
 
Biashara hii si ya hasara kama itakuwa managed properly. Ethiopia airlines makes profit. Why?
ATCL ya zamani watu walikuwa wanagwana tickets. Mtaendeshaje biashara namna hiyo ikawa na faida?
Tatizo ni abiria mambo magumu bongo
Ethiopian airlines inakwenda Dunia nzima
Unafikiri safari za dar to chato tutapata abiria wangapi?
 
Tatizo ni abiria mambo magumu bongo
Ethiopian airlines inakwenda Dunia nzima
Unafikiri safari za dar to chato tutapata abiria wangapi?
Simply amazing. International routes can't pay with profits at this stage. We need to strengthen domestic routes.
Tuache kufikiri kama kila mtu ana allergy na ndege
 
Screenshot_20200925-175326.png
Screenshot_20200925-155927.png
 
Back
Top Bottom