Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Sasa kwa sababu ni biashara ya hasara Ndio tunahitaji Ndege?ATCL ina madeni mengi sana. Kama ndege zingeinyizwa huko lazima zingechukuliwa na wadai. Airline nyingi zina hasara. Ina maana sababu ya hasara ndio hatuhitaji ndege?
Issue sio tuwe na ndege au laWatanzania tumejaa chuki za kipuuzi mpaka tunasahau siku za nyuma tulisema jambo gani.
Hao hao waliomcheka JK kwa kushindwa kuwa na shirika la ndege ndio hao wanaosema leo kuwa ndege hazina faida.
Watanzania ni kuwasikiliza na kuendelea na shughuli zako kama vile hawapo.
Kusema taarifa za ndege hazijulikani kwa watu ni upotoshaji wenye malengo ya kisiasa.Issue sio tuwe na ndege au la
The issue is,,,. Hizi ndege nani anaejua zimenunuliwaje zaidi ya Mr Pombe na mtoto wa sister wake?
Je mayanga congratulations companies
Ilipataje ukandarasi wa kujenga?
Je kuna Zaburi ilitangazwa?
Too much questions very few answers
Lissu titamrudisha kwa Amsterdam ikifika oktoba
Fake newsMTU KWAOOO
of course angepiga keleleHivi uwanja wa ndege ungejengwa Singida Ikungi angepiga kelele huyu?
Wakuu haya maawali anayachukia na nyinyi mnazidi kumchoma kwenye jeraha atazimiaAnatakiwa kujibu hoja :
- Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
- Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
- Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
- Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka Chato?
- Baada ya yeye kumaliza urais huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
- Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
- Mbona anakuwa anatoa majibu kiukali kwani kuna nini vile?
- Asitufokee, lazima ajue sisi ndiyo tunamlipa mshahara na kiinua mgongo mara akistaafu.
Sasa kwa sababu ni biashara ya hasara Ndio tunahitaji Ndege?
Nchi yetu ni masikini kufanya biashara ya hasaraNdege zinahitajika. Cha msingi ni kujenga accountability kwa waliopewa dhamana ya kusinamia biashara hiyo
Nchi yetu ni masikini kufanya biashara ya hasara
Hio hasara ya mabillioni afadhali wangejengewa nyumba wahanga wa mafuriko na wahanga wa tetemeko la ardhi
Tatizo ni abiria mambo magumu bongoBiashara hii si ya hasara kama itakuwa managed properly. Ethiopia airlines makes profit. Why?
ATCL ya zamani watu walikuwa wanagwana tickets. Mtaendeshaje biashara namna hiyo ikawa na faida?
Simply amazing. International routes can't pay with profits at this stage. We need to strengthen domestic routes.Tatizo ni abiria mambo magumu bongo
Ethiopian airlines inakwenda Dunia nzima
Unafikiri safari za dar to chato tutapata abiria wangapi?