Alwatan Mabruki Senior Member Joined Sep 20, 2020 Posts 132 Reaction score 116 Oct 24, 2020 Thread starter #201 chilubi said: Anapokataa kupeleka maendelo kisa mbunge ni kutoka upinzani Click to expand... Suala la ELIMU BURE lilibagua upinzani? na miradi mingine elekezi ya kila Mkoa?
chilubi said: Anapokataa kupeleka maendelo kisa mbunge ni kutoka upinzani Click to expand... Suala la ELIMU BURE lilibagua upinzani? na miradi mingine elekezi ya kila Mkoa?
Nakapanya JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 2,096 Reaction score 709 Oct 24, 2020 #202 Salha255 said: Sidhani kama ni kweli maana ukweli unajionyesha Click to expand... Hudhani nini? Ukweli upi?
Salha255 said: Sidhani kama ni kweli maana ukweli unajionyesha Click to expand... Hudhani nini? Ukweli upi?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 24, 2020 #203 Hakika ubaguzi siyo kitu cha kua nacho kabisa... Cc: mahondaw
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,188 Reaction score 6,244 Oct 24, 2020 #204 Alwatan Mabruki said: Suala la ELIMU BURE lilibagua upinzani? na miradi mingine elekezi ya kila Mkoa? Click to expand... Kuna moja niliona video akisisitiza kuwa wamchague mtu wake wakichagua upinzani hapeleki maendeleo
Alwatan Mabruki said: Suala la ELIMU BURE lilibagua upinzani? na miradi mingine elekezi ya kila Mkoa? Click to expand... Kuna moja niliona video akisisitiza kuwa wamchague mtu wake wakichagua upinzani hapeleki maendeleo