Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

Ivi mnapata ujasiri wakumsikiliza uyu jamaa kweli nawe kichaaa.

Yaaan wewe unaweza kugongewa mkeo na ukaona kabisa unagongewa lakini mkeo akakwanbia sijagongwa na ukakubali.

Maana akili yako sio akili nimatope

Mtu anasema tuache ubaguzi apo apo anasema msiponiletea mgombea flani sileti maji afu unachekelea tu instead ya kumtemea mate.
Acha kuwaza kwa kutumia visigino
 
Hizo ndio propaganda zenyewe sasa!

Yeye alikuwa anapiga kampeni, sasa ulitaka aseme chagueni yeyote wakati anakinadi chama chake cha ccm?
Kwani Lisu anaposema msichague wana ccm huwa anakuwa anaeneza ubaguzi
Kuna mahali Mh. Lissu amesema wasipoichagua CHADEMA hatapeleka maendeleo?
 
..kusema mchagueni mbunge wa chama changu, msimchague mbunge wa chama kingine, is within the rules.

..sasa mgombea anaposema mkichagua upande wa pili sitaleta miradi ya maendeleo, ni kinyume na sheria, pia ni ubaguzi.

..Kwa bahati mbaya, Magufuli amekuwa akirudiarudia kauli hiyo hata ktk ziara zake za kiserikali. Kwa mfano, kuna sehemu wananchi walimlilia maendeleo, aliposikia wamechagua upande wa pili, akawaambia wasimsumbue wajilaumu wenyewe kwa kuchagua upande wa pili.
Tatizo watu waliuwawa wengi,na ni majuzi tu,na wengine wamedhulumiwa roho zao,Kwa nini?,wengi wameachwa vizuka,tujikumbushe.
 
Kuna mwanasiasa mbaguzi na mwenye chuki nchi hii kumzidi Jiwe? Jiwe aliwaambia wapiga kura wakichagua chama tofauti na ccm hatawapelekea miradi ya maendeleo. Huo ni ubaguzi, na ni siasa za chuki.

yan hili jitu life tu, sasa lenyewe ndio shetani la kwanza, linavuta bangi hili eti ? yan kila siku anabagua watu eti leo hataki ubaguzi, ndio mana sisikilizag masengelema kama hayo
 
Huwa kinafiki anasema maendeleo hayana vyama lakini wakati wa kupeleka maendeleo anaangalia vyama. Kwenye upinzani anasema hapeleki maendeleo na hatapeleka milele!
 
Huwezi kukemea hali ambayo imo ndani yako!

Rais mwenyewe anabagua watu kwa misingi ya siasa halafu haoni kama ni tatizo, ajisahihishe nchi itakuwa na mvuto.
 
Naungana na 4102gogoki alivyosema kwamba jamaa anaongea utafikiri amekatwa kichwa!! Sehemu zote anaozenda anaonyesha ubaguzi wa waziwazi....mara sileti maendeleo kwasababu mmechagua upinzani ,mara siwezi kulifanya jiji ili kwa sababu hamajachagua sisiemu and bla bra kibao.
 
View attachment 1607735

Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.

View attachment 1607734

Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.

View attachment 1607737

Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.

View attachment 1607736
Huu ndio ubaguzi
 
View attachment 1607735

Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.

View attachment 1607734

Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.

View attachment 1607737

Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.

View attachment 1607736
Mheshimiwa Rais unapotoa kauli kama hizi za kupinga ubaguzi vitendo vyako viakisi hizo kauli. Tumekusikia kwenye mikutano yako ya kampeni hususan ulipokuwa Bunda kwa Ester Bulaya ukiwaambia wananchi kuwa kwa miaka mitano iliyopita hukuwapelekea maendeleo kwa vile walichagua upinzani. Huu kama di ubaguzi ni nini?
 
Huko kwa wabunge wa ccm kusiko na maendeleo walifunga plasta sehemu gani? Acha kwa wabunge, nenda kwenye jimbo la spika ambaye ndio mkuu wa hilo bunge kibogoyo, ulete level ya maendeleo ya huko. Propaganda mfu sio kwa kizazi hiki. Wabunge wa upinzani sio kondoo wa kufuata itakacho Serikali. Ingetokea wanaweka plasta wakati mjadala wa ujenzi wa madarasa, hospital nk ungekua na hoja.

Huo uduwanzi wa kuunga mkono utashi wa rais, bakini nao ccm maana huwa mnaingia bungeni kwa kutegemea mbeleko ya madaraka yake, na hisani yake na sio kura za wananchi. Imesha hiyo.
unaweza kuwa na takwimu ya majimbo ya wapinzani na kuonyesha kwa asilimia ngapi hao wabunge wamechangia maendeleo ya majimbo yao ikiwemo kuyatetea na kwa vitendo?
alafu na takwimu ya mangapi serikali imefanya katika majimbo ya upinzani
 
Hili zee likoje lakini? Haliko sawa kichwani hili! Anayeeneza chuki na ubaguzi si ni yeye? Utawaambiaje wananchi kwamba wakichagua upinzani hupeleki miradi? Siyo ubaguzi huo? Atulie hivyo hivyo tumnyoe tarehe 28 Oktoba
Rudi darasani kwanza ukajifunze maana halisi ya ubaguzi
 
Back
Top Bottom