Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiponiletea wabunge wa ccm sitaleta fedha za maendeleo. Alisikika mwalimu mmoja kilabuni.Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.
Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.
Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.
Kipenzi chetu watanzania, mtetezi wa wanyonge, mzalendo namba moja, kiboko ya corona🔥🔥🔥🔥View attachment 1607735
Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.
View attachment 1607734
Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.
View attachment 1607737
Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.
View attachment 1607736
Hakika anashangaza sana huyu mzee, Jiwe ni mbaguzi nambari moja hapa nchini!...kuna mwanasiasa mbaguzi na mwenye chuki nchi hii kumzidi Jiwe? Jiwe aliwaambia wapiga kura wakichagua chama tofauti na ccm hatawapelekea miradi ya maendeleo. Huo ni ubaguzi, na ni siasa za chuki.
Acha upopoma!Hukusikia Tunduma aliposema wasipomchagua Silinde hata maji ambayo serikali imeshakamilisha mpango basi hatapeleka!Hukusikia Bunda alisema hakujenga barabara kwasababj walichagua mpinzani hivyo wakichagua tena mbunge wa upinzani barabara hiyo hatapeleka na atapeleka kwa watakaochagua CCM!
Acheni kutetea ujinga.
ANgeishia kusema msichague mpinzani... Haya ya kusema hataleta maendeleo kisa mmechagua mpinzani, ni nini sasa..!!??Hizo ndio propaganda zenyewe sasa!
Yeye alikuwa anapiga kampeni, sasa ulitaka aseme chagueni yeyote wakati anakinadi chama chake cha ccm?
Kwani Lisu anaposema msichague wana ccm huwa anakuwa anaeneza ubaguzi
Na kodi iliyokatwa kwa aliyemchagua mpinzani..!!?Tumezoea kuwa nyinyi ni watu wa kupiga soga,na wakupinga wew unadhani hao wananchi watafikishiwaje Maendeleo wakati viongozi wao wenyewe hawawajibiki si bungeni wala vikao vya halmashauri
Sasa hapo wapinzani wanazuiaje miradi iliyokwishapangwa na serikali?Wala msifichefiche hapa,Magufuli ameweka wazi ni kuwa atawakomoa kwa serikali yake kutopeleka maendeleo huko watakakochagua upinzani,shwain!Tumezoea kuwa nyinyi ni watu wa kupiga soga,na wakupinga wew unadhani hao wananchi watafikishiwaje Maendeleo wakati viongozi wao wenyewe hawawajibiki si bungeni wala vikao vya halmashauri
Yeye mwenyewe je? Eti 'msipochagua wagombea wa CCM wa ubunge na udiwani siwaletei maendeleo', je huu sio ubaguzi?Vita ya ubaguzi ilibidi aipige kwenye chama chake cha CCM pamoja na viongozi wa CCM walio wengi
Toa mfano pleaseMbona yeye anatubagua waliompa kura nyingi nyumba zao hazikubomolewa.
Akiambiwa jambo na mwanamke mweupe anasikiliza.
Yeye ni mbaguzi no1View attachment 1607735