NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
I hate this man from the bottom of my heart.
Mwenyezi Mungu anisamehe.
Mwenyezi Mungu anisamehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silinde alikuwa nani mjomba si alikuwa Chadema sasa maji hayakuwepo je wananchi walikuwa wanakunywa mikojonau laaah??
Acha upuuzi mjomba.
Je Silinde ndio umemuona tu je hakuna wana Ccm wengine ambao wapo hapo kwamba hawatapata hayo maji hawa nao unawaweka kundi gani.
Yaani nyie chama cha machiba bhana.
Yeye mwenyewe ndio bonge lambagzi kwelikweliIkiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.
Pia amewatahadhalisha watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.
Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.
Tuletee speecha yake mjomba...Ni mbaguzi.
..aliwabomolea nyumba zao wakazi wa majimbo yaliyochagua wabunge wa upinzani.
..kule walikochagua wabunge wa ccm akasema wasibomolewe kwasababu ni wapigakura wake.
Rais aliyesema atawapa upendeleo wanawake weupe yeye ndiye mbaguzi.Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.
Pia amewatahadhalisha watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.
Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.
Akae namaji yake kwani mpaka leo wanamtegemea yeye nawenyewe wamnyime kura nahivi apiti ndokabisa..amewanyima maji wananchi wa Tunduma kwasababu jimbo linaongozwa na halmashauri na mbunge[mwakajoka] wa Cdm.
..sasa hivi Silinde anagombea jimbo la Tunduma dhidi ya Mwakajoka wa Cdm ndiyo maana Magufuli anawatishia kuwa ataendelea kuwanyima maji kama hawatamchagua Silinde.
Kwanza bunda ja Kilwa hakuna huduma za kijamii au hakuna shule huko mjomba au hospitali zilizojengwa hahahah.
Acha uchawi wewe toka kama huna hoja njoo na fact hapa mjomba
Huyo mimi nampa cheo cha Mbaguzi-in-Chief. Ubaguzi aliouleta hapa nchini ingekuwa nchi zingine Bunge lilitakiwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye na kumuondoa madarakani. Hata hivyo yawezekana ubaguzi ni mojawapo katika sera za CCM maanake kila anapowabagua Watanzania anapigiwa makofi na vigelegele na wana CCM...kuna mwanasiasa mbaguzi na mwenye chuki nchi hii kumzidi Jiwe? Jiwe aliwaambia wapiga kura wakichagua chama tofauti na ccm hatawapelekea miradi ya maendeleo. Huo ni ubaguzi, na ni siasa za chuki.
Ntajie sekta ambayo imechangia ukuaji wa uchumi hapa nchini???..maendeleo hayaji kwasababu ya vipaumbele vibaya vya CCM na Magufuli.
..kwa mfano, tumetumia billion 500+ kununua midege toka kwa mabeberu wakati wananchi wa maeneo mengi nchini hawana maji safi na salama.
..wizara ya maji imekuwa ikipewa chini ya 20% bajeti iliyopitishwa na wabunge, kwasababu Magufuli ana vipaumbele vyake binafsi vya upigaji na ufisadi, badala ya kuzingatia vipaumbele vilivyoko kwenye bajeti.
Je hilo swala lipo chini ya nani??..amewanyima maji wananchi wa Tunduma kwasababu jimbo linaongozwa na halmashauri na mbunge[mwakajoka] wa Cdm.
..sasa hivi Silinde anagombea jimbo la Tunduma dhidi ya Mwakajoka wa Cdm ndiyo maana Magufuli anawatishia kuwa ataendelea kuwanyima maji kama hawatamchagua Silinde.
Wewe wasemaP R. O. P. A. G. A. N. D. A
Kazi ya mbunge ni nini hasa katika kuleta maendeleo kwa watu wake???..serikali imekuwa ikilihujumu jimbo la kawe kwasababu linaongozwa na mpinzani.
Uongozi wetu sio wa kibabe kama wenu sisi ni unyenyekevuAnaye ropoka ni huyo chizi wa kisukuma ambaye hatakiwi mpk .anapiga magoti.
Dude gani hilo la nyuma?? 😀 😂 😁Ama kweli wahenga walipatia waliposema nyani haoni dude lake la nyuma!
Acha upopoma!Hukusikia Tunduma aliposema wasipomchagua Silinde hata maji ambayo serikali imeshakamilisha mpango basi hatapeleka!Hukusikia Bunda alisema hakujenga barabara kwasababj walichagua mpinzani hivyo wakichagua tena mbunge wa upinzani barabara hiyo hatapeleka na atapeleka kwa watakaochagua CCM!Point of collection hajasema kuwa hatapeleka maendeleo, anachojaribu kuonyesha ni kuwa viongozi wa wapinzani huwa wanakwamisha miradi ya maendeleo ili tu lawama zirudi kwa viongozi wa chama tawala na wakati huo wala siwakazi wa eneo hilo na tabu wanapata wale wazawa ,hivyo kuchagua wapinzani ni kujichelewesha.
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Je hilo swala lipo chini ya nani??
Kazi ya Mbunge katika jimbo ni nini mjomba??
Je mfuko wa jimbo kazi yake ni nini??
Wewe ni juha na mwendawazimu uliyekubali kupokwa akili zako na hilo genge lenu la misukule!Bakini na mawazo mgando hivy hivyo, hamjui kwamba anty li ni mbaguzi, alishasema hatokuja kukaa na kufikiria kuwapeleka watoto waze shule za kata tena kwa kejeli, sio hiyo tu anadharau mpaka lugha yetu ya Kiswahili, lakini pia hana huruma na wa Tanzania kwani ni mtu alokuwa akihubiri sana uchafuzi wa amani watu waandamane huku akiwa na uraia wa nchi nyengne, kwamaana sisi tuuwane yeye asepe zake.
Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.
Pia amewatahadhalisha watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.
Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.
Kila mkutano wa kampeni viongozi wa dini wapo na wengine wameombea vyama kura. Tuanze na Mufti na Shekhe wa DSM. Moshi leo kulikuwa na Mkuu wa KKKT na wengine. Balance discussions zakoChadema wanasiasa za kishamba sana, walianza uchaga na ukanda, sasa wanaleta udini kwa kushirikiana na sultan seif na zito