TheGreatAssethi
Member
- Sep 22, 2020
- 85
- 28
Lazima muambiwe ukweli kwamba mlikosea kuchagua na ndio maana hakuna maendeleo...kusema mchagueni mbunge wa chama changu, msimchague mbunge wa chama kingine, is within the rules.
..sasa mgombea anaposema mkichagua upande wa pili sitaleta miradi ya maendeleo, ni kinyume na sheria, pia ni ubaguzi.
..Kwa bahati mbaya, Magufuli amekuwa akirudiarudia kauli hiyo hata ktk ziara zake za kiserikali. Kwa mfano, kuna sehemu wananchi walimlilia maendeleo, aliposikia wamechagua upande wa pili, akawaambia wasimsumbue wajilaumu wenyewe kwa kuchagua upande wa pili.
Sasa unazani akisema mchagueni upinzani hawa upinzani wa sasa kila kitu kupinga je hayo maendeleo yatakujaje wajomba fikirieni hahahah