Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.

Pia amewatahadhalisha watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.

Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.

KWA MAENDELEO YA KWELI CHAGUA MAGUFULI, MAGUFULI, MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
 
Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.

Pia amewatahadhalisha watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.

Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.

Kweli kabisa kwani watanzania wote ni NDUGU bila kujali itikadi zao
 
Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.

Pia amewatahadhalisha watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.

Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.

Ni ukweli usiopingika na ulio wazi kuwa, Tanzania upinzani bado sanaaaaaa na itoshe tu kusema kuwa CCM ni chama imara na kitaendelea kuwa imara. Dk Magufuli anastahili kura za kishindo kwa maendeleo ya Taifa letu
 
Kusema hivyo sio ubaguzi, kwani tumeona Maeneo mengi ambayo unaupinzani na kapeleka huduma za jamii, mfano mzuri Kilimanjaro ambapo upinzani umesheni ingawa sasa hivi majimbo yote CCM tunayachukuwa, kapeleka miradi.
Nani kama Magufuli, Tarehe 28 kura yangu kwa #Magufuli.
Hakika, inabidi wafahamu maana halisi ya ubaguzi.
 
Mubaguzi hataki wenzake wabaguwane ni kama vile mwizi asivyotaka kuibiwa.
 
Point of collection hajasema kuwa hatapeleka maendeleo, anachojaribu kuonyesha ni kuwa viongozi wa wapinzani huwa wanakwamisha miradi ya maendeleo ili tu lawama zirudi kwa viongozi wa chama tawala na wakati huo wala siwakazi wa eneo hilo na tabu wanapata wale wazawa ,hivyo kuchagua wapinzani ni kujichelewesha.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Sio kweli. Haya ni ya kwako
 
Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.

Pia amewatahadhalisha watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa maslahi ya Taifa, bali ana malengo mabaya ya kuleta machafuko nchini.

Alitoa rai hiyo jana wilayani Korogwe mkoa wa Tanga wakati akihutubia wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye viwanja vya chuo cha walimu Korogwe.

Kwani watanzania wote wameamua kusafiri na magufuli kwa Mafanikio makubwa tuliyoyaona
 
..kuna mwanasiasa mbaguzi na mwenye chuki nchi hii kumzidi Jiwe? Jiwe aliwaambia wapiga kura wakichagua chama tofauti na ccm hatawapelekea miradi ya maendeleo. Huo ni ubaguzi, na ni siasa za chuki.
Hahhaha..
MBONA WAPO WALIOMSIMAMISHA MGOMBEA NA LEO WANAMKANA....!!!🤣🤣🤣Upinzani wa Tanzania ni zaidi ya kirusi wamekaa kuharibu kila kitu...Huwezi fanya nao lolote la maendeleo
 
Kwaiyo hawezi kunadi chama chake hadi awatishie wananchi kwa kauli za kibaguzi? Kiongozi mwema asiye m'baguzi hawezi kuwachimbia wananchi mikwara ya kutowapelekea maendeleo maeneo ambayo hakitachaguliwa Chama chake. Kiongozi mwema huwahudumia wananchi wake bila kubagua imani ya chama mana kila mmoja ana uhuru kuchagua anachokipenda, na yeye pia ni wajibu wake kuwapelekea maendeleo wananchi wake kwa sababu kwenye hayohayo maeneo yanayoongozwa na wapinzani kuna watu hawana vyama, hao pia wanahitaji kupelekewa maendeleo pia.
Acha kupika mawazo ya mtu, kama hukumuelewa inabidi useme tukueleweshe vizuri.
Ipo hivi, Alizungumza hayo kutokana na kwamba viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni wakwamishaji wa mambo ya maendeleo, hawazungumzi kero za wananchi ndio maana aliwaambia wakichagua upinzani itakuwa imekula kwao maana watakosa mwakilishi wa kuwasemea kero zao.
Chagua CCM, Chagua Magufuli
 
Kwaiyo hawezi kunadi chama chake hadi awatishie wananchi kwa kauli za kibaguzi? Kiongozi mwema asiye m'baguzi hawezi kuwachimbia wananchi mikwara ya kutowapelekea maendeleo maeneo ambayo hakitachaguliwa Chama chake. Kiongozi mwema huwahudumia wananchi wake bila kubagua imani ya chama mana kila mmoja ana uhuru kuchagua anachokipenda, na yeye pia ni wajibu wake kuwapelekea maendeleo wananchi wake kwa sababu kwenye hayohayo maeneo yanayoongozwa na wapinzani kuna watu hawana vyama, hao pia wanahitaji kupelekewa maendeleo pia.
Kwani Anti-Li yeye anasemaga aje.???
 
..Ni mbaguzi.

..aliwabomolea nyumba zao wakazi wa majimbo yaliyochagua wabunge wa upinzani.

..kule walikochagua wabunge wa ccm akasema wasibomolewe kwasababu ni wapigakura wake.
Uongo huu, leta uthibitisho hapa
 
Back
Top Bottom