Hizo ndio propaganda zenyewe sasa!
Yeye alikuwa anapiga kampeni, sasa ulitaka aseme chagueni yeyote wakati anakinadi chama chake cha ccm?
Kwani Lisu anaposema msichague wana ccm huwa anakuwa anaeneza ubaguzi
..kusema mchagueni mbunge wa chama changu, msimchague mbunge wa chama kingine, is within the rules.
..sasa mgombea anaposema mkichagua upande wa pili sitaleta miradi ya maendeleo, ni kinyume na sheria, pia ni ubaguzi.
..Kwa bahati mbaya, Magufuli amekuwa akirudiarudia kauli hiyo hata ktk ziara zake za kiserikali. Kwa mfano, kuna sehemu wananchi walimlilia maendeleo, aliposikia wamechagua upande wa pili, akawaambia wasimsumbue wajilaumu wenyewe kwa kuchagua upande wa pili.