Zanzibar 2020 Dkt. Magufuli awasili Zanzibar kwa kampeni za kishindo, aahidi kuwanadi wagombea wote wa CCM

Zanzibar 2020 Dkt. Magufuli awasili Zanzibar kwa kampeni za kishindo, aahidi kuwanadi wagombea wote wa CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata.

Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka msikitini. Dkt. Magufuli amesema atawafanyia kampeni wagombea wote wa CCM huko Zanzibar.

Source Bongo.com

Maendeleo hayana vyama!
 
Zanzibar washachoshwa na usanii wa Maalim.
Acha mwaka huu CCM Zanzibar wajizolee kura za kutosha.
 
Back
Top Bottom