johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwa sasa komredi Polepole anaunguruma pale Kisiwandui!nako atakwenda kumpigia magoti Maalim kama alivyompigia magoti Lissu kule Dodoma!
Zanzibar washachoshwa na usanii wa Maalim.
Acha mwaka huu CCM Zanzibar wajizolee kura za kutosha.