Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Gwajima anachukiwa sana kwa sababu ni mkweli sana. Je, ukweli wake ni upi?

Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Ndege wafananao, huruka pamoja.

Wapemba hujuana kwa vilemba vilevile.! Kwa hiyo Meko na Gwajipono ni mamluki wanaofanana na wanajuana, na wote ni wa kanda ileeee.
 
Waislamu na wakatoliki wa Kawe. Rais Magufuli kawarahisishia. Kawaambia Gwajima Ni mkweli, hivyo hata alivyowatukana mwaka ule, aliwatukana toka moyoni.

Na sisi wananchi, tumepewa ukweli na Rais Magufuli kuwa, Ni kweli Paul Makonda ni Albert Bashite maana mtu mkweli kwa mjibu wa Rais(Gwajima) ndiye alitutangazia.

Kumbe ni kweli kuwa Makonda ni zero.

#kwahisaniyaSUPANA.
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Uropokaji kwa kisukuma ndio kusema kweli

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ni mkweli kwenye movie ya Gwajiporn, alikiri yule ni yeye lakini ule mkono haukuwa wa kwake 😀 , naamini ni mkweli!

Mkweli alimtusi Pengo.
Kweli alitufunulia juu ya Bashite na FaFaFa.

CCM kwa Gwajiboy, wamebugi step vibayaa!

Everyday is Saturday................................😎
 
Waislamu na wakatoliki wa Kawe. Rais Magufuli kawarahisishia. Kawaambia Gwajima Ni mkweli, hivyo hata alivyowatuka mwaka ule, aliwatukana toka moyoni.

Na sisi wananchi, tumepewa ukweli na Rais Magufuli kuwa, Ni kweli Paul Makonda ni Albert Bashite maana mtu mkweli kwa mjibu wa Rais(Gwajima) ndiye alitutangazia.

Kumbe ni kweli kuwa Makonda ni zero.

#kwahisaniyaSUPANA.

Now this is a great thinker!! Point!!!
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Gwajima ni ukweli huoni alitoboa juu ya bashite?
Na ile video ya porno alisema ukweli kuwa "sura ni yangu ila mkono ni wa baunsa hata hivyo NI WIVU TU"
 
Anamaanisha kuwa kauli ya Gwajima kuwa Islam ni dini ya majini na Catholic ni dini ya mpinga Kristo ni kauli za kweli kabisa.

Waislam na wakatoloki wa Kawe tarehe 28 October tuna jambo letu.
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Gwajima anachukiwa kwa sababu hana adabu
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Labda ule uropokaji wake ndio magu anaona ni ukweli, wasukuma bwana!
 
Furaha Ni Mtoto Wa Dada Yangu, Nikitaka Nampa Furaha
 
Back
Top Bottom