Kawe inahitaji maendeleo. Hawa saccos ya Mbowe, kila mahali walipo kuanzia kaskazini mpaka kusini, magharibi mpaka mashariki hakuna walichofanya. Tukifuata ukweli bila ushabiki, hawa saccos wanapunguza kasi ya maendeleo kabisa, wao kupinga kila kitu, kupinga mpaka Bajeti sasa unadhani wananchi watawakilishwa na nani kama kila siku mbunge mara yuko karantini, mara apigana na polisi, mara wamegoma sasa wananchi tumechoka. Komaa kamanda, wakakomae pale Ufipa kwenye kile kijumba cha ofisi yao, ili watie adabu maana Mbowe lazima awakamue wote mpaka wapate akili.Tarehe 28 oct, watanzania watawapa mikwaju ya kutosha mpaka data za vichwa vyenu ziyeyuke. Naiona Tanzania ya kijani inakuja.