The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ndege wafananao, huruka pamoja.Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Uropokaji kwa kisukuma ndio kusema kweliNimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Wana jambo lao 28!Gwajima ni mkweli sana aliposema Uaskofu ni zaidi ya kuwa Rais na Waziri Mkuu, halafu ghafla anautaka ubunge.!!
Wana Kawe sio wajinga.
Waislamu na wakatoliki wa Kawe. Rais Magufuli kawarahisishia. Kawaambia Gwajima Ni mkweli, hivyo hata alivyowatuka mwaka ule, aliwatukana toka moyoni.
Na sisi wananchi, tumepewa ukweli na Rais Magufuli kuwa, Ni kweli Paul Makonda ni Albert Bashite maana mtu mkweli kwa mjibu wa Rais(Gwajima) ndiye alitutangazia.
Kumbe ni kweli kuwa Makonda ni zero.
#kwahisaniyaSUPANA.
Gwajima ni ukweli huoni alitoboa juu ya bashite?Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Gwajima anachukiwa kwa sababu hana adabuNimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Ana mauno ya hatari kama paka chongo. Wapenda mauno wanajuana.Hebu Search Gwajiboy porn kwny google upate 'laha' duniani.
Labda ule uropokaji wake ndio magu anaona ni ukweli, wasukuma bwana!Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.