HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Acha ukabila wewe ulitaka awe wa Kanda yako?Ndege wafananao, huruka pamoja...
......Wapemba hujuana kwa vilemba vilevile.! Kwa hiyo Meko na Gwajipono ni mamluki wanaofanana na wanajuana, na wote ni wa kanda ileeee....
Gwajima ni mtu wa hakiNimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Gwajima ni mtu jasiri mchapakaziNimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Upo?Gwajima ni mtu wa haki
Gwajima ni mkweli kabisaNimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Moja wapo ni kuwatia moyo kipindi cha Corona wakati nyie mnavaa balakoa yeye anapita kila Media akiwaambia akuna ugonjwa unaitwa Corona, nikuulize je upo Tz.Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Ni kweli kabsa wala sio uongo cheo cha Uaskofu kidini lakin sasa anataka kuwatumikia wananchi wa aina yote kama mnavyosema siasa na dini ni vitu viwili tofautiGwajima ni mkweli sana aliposema Uaskofu ni zaidi ya kuwa Rais na Waziri Mkuu, halafu ghafla anautaka ubunge.!!
Wana Kawe sio wajinga.
Hilo ni jambo la ukweli analosema mzee magu wala sio uongo maana gwajima ni mtu mwema saana na sisi tunalitambua hilo ndo mana tutampa kura zetu zoooteNimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Kumbe kula mbona hata wewe unatafuna mbuziUkweli wake anauonyesha pale anapotii kiu yake kwa kutafuna kondoo wake. Hajifichi!
Rais amesema wewe ni nani hata upinge Gwajima oyeeeeeGwajima ni mkweli Sana....
"Kuna mjinga mmoja, asiyefaa mmoja, mwendawazimu mmmoja anaitwa kadinali Pengo..
Nitabadili misikiti kuwa Sunday School""
Nitampa kura yangu Gwajima.
Propaganda zenu na msagaji wenu zimekwisha. Gwajima ndiye mbunge mtarajiwa wa Kawe. Hilo lishike kichwani kabisa. Nani awezaye kuzuia jambo, ikiwa Mungu ameliridhia?.Mungu ibariki kawe, Mungu mbariki bishop. Gwajima. Mungu ibariki CCM.Gwajima ni mkweli Sana....
"Kuna mjinga mmoja, asiyefaa mmoja, mwendawazimu mmmoja anaitwa kadinali Pengo..
Nitabadili misikiti kuwa Sunday School""
Nitampa kura yangu Gwajima.
Gwajima ni jasiri ,kawe tunamuitaji sanaNimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga