Dkt. Magufuli hata amualike Trump kumuombea kura bado hatoshinda

Eti anajifanya ndo anaanza kurudisha mahusiano na majirani....

Pathetic
 
Kwani we ni nani mpaka magufuli asipite!!?? Chadema inakazi kubwa sana safari hii, nadhani wewe ndo umetimiza miaka 18 kwenye uchaguzi huu, waulize wenzio kipindi cha lowassa 2015 palikuwaje bwana mdogo.
 
Reactions: nao
Natoa million moja we toa laki tano , Lissu akipata kuanzia asilimia 30 ya kura chukua million otherwise nichukue kilo tano zako ....
 
Thinking tank PENTAGON makao makuu ya Wizara ya ulinzi ya Marekani wamemuonya jiwe na Chama chake kuhusu Utekaji mauaji kupotezwa kwa watu nk nk nk........

Bye jiwe.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kutamani hawa WAHUNI, WATEKA NYARA na kubambikia watu kesi zisizo na dhamana warudi tena madarakani. Wanao tamani hayo ni Lumumba elfu saba saba tu.
 

Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 9

Hahahahahahahaha Najua prof unajidanganya na unaujua ukweli kabisa!
 
Lengo la CCM siyo kushinda nafasi ya Urais, kwa sababu nafasi hiyo tayari ipo mikononi, lengo hasa ni kushinda nafasi za wabunge wote na kuongoza Halmashauri zote Nchini.
Miaka yote mmekuwa mkiongoza, elezeeni wananchi tangu wataoe Uhuru mwaka 1961 mmewafikisha wapi? Huku geita Kijiji cha Nyamikoma, Kamwanga na lwenge tumeongozwa na ccm miaka yote, Hadi leo hatuna barabara hata ya vumbi,hatuna maji Safi na salama,hatuna na hatujawahi kuona nishati ya umeme,hatuna shule,zahanati Wala soko.ni miujiza na kutoka Nyamikoma Hadi chato ni kms 100 tu.wao Wana uwanja wa ndege na kila kitu
 
hayo ni maoni yako tu ambayo hayana msingi wowote ni kujidharirisha sana kusema jpm hashindi sasa nani atashinda huyo mpiga kelele wa mbowe?
 
Uko chato kwenye nako shida tu.Wanamiliki uwanja wakisasa wa ndege na mataa ya barabarani katikati ya mji pembezoni ya mji hawana maji,juzi juzi ndo nimeona wanatandaziwa mabomba ya maji ya maana.
 
Thinking tank PENTAGON makao makuu ya Wizara ya ulinzi ya Marekani wamemuonya jiwe na Chama chake kuhusu Utekaji mauaji kupotezwa kwa watu nk nk nk........

Bye jiwe.
Wale watu wakishakumulika tu ujue siku zaKo ni 40
 
Pale ulipo Sema kura apewe Lissu ndio umeharibu kila kitu.
 
Ingekuwa Kura zinapigwa huku Jamii forums Lissu wenu alishashinda, lakini kwa kuwa kura zinapigwa na Watanzania ambao ni waelewa na wanajua wanachotaka we subiria tu Tarehe 28 October.
 
Reactions: nao
Utafiti uliufanyia kwenye fuvu lako itakuwa this time is for lissu
Kwa utafiti uliofanyikak, Uchaguzi ukifanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89%

na ukifanyika October atashinda kwa 97%

Nyie wafuasi wa lissu mkikutana wasap mnaona ikulu hii hapa [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…