Ndiyo hivyo Lissu hata tangazwaNec wameshashtuka. Upepo uko upande wa Lissu
Kwani we ni nani mpaka magufuli asipite!!?? Chadema inakazi kubwa sana safari hii, nadhani wewe ndo umetimiza miaka 18 kwenye uchaguzi huu, waulize wenzio kipindi cha lowassa 2015 palikuwaje bwana mdogo.Nimemsikiliza mzee Museveni akisema amealikwa kwenda Chato na mwishoni akamalizia kwa kumuombea kura mgombea Urais kupitia CCM ndugu JPM.
Aisee tumpe taarifa kua this time is for TUNDU, CCM imetawala miaka 59 hakuna ilichoifanyia Tanzania. Hii awamu ya 5 sioni jipya lililoleta madhara changa kubadili maisha ya Mtanzania hadi sasa zaidi ya baadhi ya ndugu zetu kupotea hatujui walipo hadi sasa na wengine kupigwa risasi.
Nasema JPM hata amualike Donald Trump wa Marekani amuombe kura hatumpigii kura.
Natoa million moja we toa laki tano , Lissu akipata kuanzia asilimia 30 ya kura chukua million otherwise nichukue kilo tano zako ....Nimemsikiliza mzee Museveni akisema amealikwa kwenda Chato na mwishoni akamalizia kwa kumuombea kura mgombea Urais kupitia CCM ndugu JPM.
Aisee tumpe taarifa kua this time is for TUNDU, CCM imetawala miaka 59 hakuna ilichoifanyia Tanzania. Hii awamu ya 5 sioni jipya lililoleta madhara changa kubadili maisha ya Mtanzania hadi sasa zaidi ya baadhi ya ndugu zetu kupotea hatujui walipo hadi sasa na wengine kupigwa risasi.
Nasema JPM hata amualike Donald Trump wa Marekani amuombe kura hatumpigii kura.
Nimemsikiliza mzee Museveni akisema amealikwa kwenda Chato na mwishoni akamalizia kwa kumuombea kura mgombea Urais kupitia CCM ndugu JPM.
Aisee tumpe taarifa kua this time is for TUNDU, CCM imetawala miaka 59 hakuna ilichoifanyia Tanzania. Hii awamu ya 5 sioni jipya lililoleta madhara changa kubadili maisha ya Mtanzania hadi sasa zaidi ya baadhi ya ndugu zetu kupotea hatujui walipo hadi sasa na wengine kupigwa risasi.
Nasema JPM hata amualike Donald Trump wa Marekani amuombe kura hatumpigii kura.
Miaka yote mmekuwa mkiongoza, elezeeni wananchi tangu wataoe Uhuru mwaka 1961 mmewafikisha wapi? Huku geita Kijiji cha Nyamikoma, Kamwanga na lwenge tumeongozwa na ccm miaka yote, Hadi leo hatuna barabara hata ya vumbi,hatuna maji Safi na salama,hatuna na hatujawahi kuona nishati ya umeme,hatuna shule,zahanati Wala soko.ni miujiza na kutoka Nyamikoma Hadi chato ni kms 100 tu.wao Wana uwanja wa ndege na kila kituLengo la CCM siyo kushinda nafasi ya Urais, kwa sababu nafasi hiyo tayari ipo mikononi, lengo hasa ni kushinda nafasi za wabunge wote na kuongoza Halmashauri zote Nchini.
Vyama vyote hivyo vinapumulia mashine.Kamwe huwezi kushindana na wakati.museveni anaogopa ccm iking'olewa waganda nao watacharuka wataing'oa NRM.
hayo ni maoni yako tu ambayo hayana msingi wowote ni kujidharirisha sana kusema jpm hashindi sasa nani atashinda huyo mpiga kelele wa mbowe?Nimemsikiliza mzee Museveni akisema amealikwa kwenda Chato na mwishoni akamalizia kwa kumuombea kura mgombea Urais kupitia CCM ndugu JPM.
Aisee tumpe taarifa kua this time is for TUNDU, CCM imetawala miaka 59 hakuna ilichoifanyia Tanzania. Hii awamu ya 5 sioni jipya lililoleta madhara changa kubadili maisha ya Mtanzania hadi sasa zaidi ya baadhi ya ndugu zetu kupotea hatujui walipo hadi sasa na wengine kupigwa risasi.
Nasema JPM hata amualike Donald Trump wa Marekani amuombe kura hatumpigii kura.
Miaka yote mmekuwa mkiongoza, elezeeni wananchi tangu wataoe Uhuru mwaka 1961 mmewafikisha wapi? Huku geita Kijiji cha Nyamikoma, Kamwanga na lwenge tumeongozwa na ccm miaka yote, Hadi leo hatuna barabara hata ya vumbi,hatuna maji Safi na salama,hatuna na hatujawahi kuona nishati ya umeme,hatuna shule,zahanati Wala soko.ni miujiza na kutoka Nyamikoma Hadi chato ni kms 100 tu.wao Wana uwanja wa ndege na kila kitu
Wale watu wakishakumulika tu ujue siku zaKo ni 40Thinking tank PENTAGON makao makuu ya Wizara ya ulinzi ya Marekani wamemuonya jiwe na Chama chake kuhusu Utekaji mauaji kupotezwa kwa watu nk nk nk........
Bye jiwe.
Kama za mama yako vileNdoto za asubuhi hizi
Hizo hasira ni za stressKama za mama yako vile
Pale ulipo Sema kura apewe Lissu ndio umeharibu kila kitu.Nimemsikiliza mzee Museveni akisema amealikwa kwenda Chato na mwishoni akamalizia kwa kumuombea kura mgombea Urais kupitia CCM ndugu JPM.
Aisee tumpe taarifa kua this time is for TUNDU, CCM imetawala miaka 59 hakuna ilichoifanyia Tanzania. Hii awamu ya 5 sioni jipya lililoleta madhara changa kubadili maisha ya Mtanzania hadi sasa zaidi ya baadhi ya ndugu zetu kupotea hatujui walipo hadi sasa na wengine kupigwa risasi.
Nasema JPM hata amualike Donald Trump wa Marekani amuombe kura hatumpigii kura.
Ingekuwa Kura zinapigwa huku Jamii forums Lissu wenu alishashinda, lakini kwa kuwa kura zinapigwa na Watanzania ambao ni waelewa na wanajua wanachotaka we subiria tu Tarehe 28 October.Nimemsikiliza mzee Museveni akisema amealikwa kwenda Chato na mwishoni akamalizia kwa kumuombea kura mgombea Urais kupitia CCM ndugu JPM.
Aisee tumpe taarifa kua this time is for TUNDU, CCM imetawala miaka 59 hakuna ilichoifanyia Tanzania. Hii awamu ya 5 sioni jipya lililoleta madhara changa kubadili maisha ya Mtanzania hadi sasa zaidi ya baadhi ya ndugu zetu kupotea hatujui walipo hadi sasa na wengine kupigwa risasi.
Nasema JPM hata amualike Donald Trump wa Marekani amuombe kura hatumpigii kura.
Huyu ndiyo ana stressHizo hasira ni za stress
Kwa utafiti uliofanyikak, Uchaguzi ukifanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89%
na ukifanyika October atashinda kwa 97%
Nyie wafuasi wa lissu mkikutana wasap mnaona ikulu hii hapa [emoji1][emoji1]